Angalia nilichomjibu huyu kuhusu kabila langu

Kuna mtu kanikeraΒ et nmemkubalia urafiki Leo tuΒ Facebook anataka kujua kabila langu
Bac akajifanya mjanjaa etΒ akaniuliza mbu kwenu mnawaitaje
Mimi nkamjibu hatuwaiti wanakujagaΒ wenyewe
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Si kwamba cjamuelewa ila sipendagi Ujinga Mimi

236 thoughts on “Angalia nilichomjibu huyu kuhusu kabila langu”

Leave a Reply to Sharon Kibiru Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart