Angalia huyu mwanamke mwenye wivu kwa mumewe alivyoumbuka, Mme wake kamuweza kweli

WIVU HUU NI NOMA

Mke: Hivi mume wangu una wanawake wangapi huko nje?

Mume: Kama nywele za kichwa changu.

Mke akachukua nguo zake akaondoka, Kufika njiani akakumbuka mumewe alikuwa na kipara Akaanza kurudi kwa mumewe.

236 thoughts on “Angalia huyu mwanamke mwenye wivu kwa mumewe alivyoumbuka, Mme wake kamuweza kweli”

Leave a Reply to Bahati Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart