Angalia haya maswali ya huyu mtoto yalivyomagumu, ndio maana wazee wetu walikua wanatudanganya

Mtoto: Mama, hivi kabla hujanizaa uliniona!?

Mama: Hapana mwanangu sijakuona.

Mtoto: Kwahiyo ulivyonizaa ulijuaje kwamba ni mimi…!??

236 thoughts on “Angalia haya maswali ya huyu mtoto yalivyomagumu, ndio maana wazee wetu walikua wanatudanganya”

Leave a Reply to Mgeni Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart