Alichokisema mtoto baada ya kusikia baba na mama wakiongea mambo yao usiku

MUME: Mke wangu naomba nikubusu
MKE: Sitaki
MUME: Ntakununulia pete ya gold
MKE: Staki

MUME: Ntakununulia gari
MKE: Sitaki….mtoto wao aliyekuwa kalala alisikia haya maneno ya mwisho
MTOTO: Baba basi nibusu mimi uninunulie baiskeli
BABA: Pumbafu lala huko mjinga mkubwa

236 thoughts on “Alichokisema mtoto baada ya kusikia baba na mama wakiongea mambo yao usiku”

Leave a Reply to Grace Minja Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart