Aina mojawapo ya watoto ambao ni hasara kuwa nao

Alipelekwa Hospitali na baba yake, baada ya vipimo Doctor akawa anamuandikia dawa, baba yake akatoka nje kuongea na cm.

Mtoto akamwinamia Doctor na kusema kwa sauti ya chini:- “Doctor Kwenye dozi ya dawa niandikie na FANTA BARIDII, CHIPS na MISHIKAKI kutwa mara 2 kwa siku 30.

236 thoughts on “Aina mojawapo ya watoto ambao ni hasara kuwa nao”

Leave a Reply to Mwajabu Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart