Viamba upishi
Blue band vijiko vikubwa 2
Maziwa vikombe 2
Royco kijiko kikubwa 1-2
Pilipili manga (unga) kijiko cha 1
Chumvi kiasi Maji lita 2-3
Boga kipande ยฝ
Viazi mviringo 2
Vitunguu 2
Karoti 2
Nyanya 2
Hatua
โข Menya boga, viazi, karoti, nyanya na kwaruza weka kwenya sufuria kubwa.
โข Menya, osha na katakata vitunguu kisha ongeza kwenye mboga.
โข Ongeza maji na chumvi chemshwa mpaka vilainike.
โข Pekecha ikiwa jikoni na moto kidogo
โข Ongeza blue band, maziwa royco na pilipili manga ukikoroga kwa dakika 5.
โข Onja chumvi na pakua kama supu.
Uwezekano
Tumia siagi badala ya margarine.
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE