Mfu wa Mawazo Leave a Comment / By SW - Melkisedeck Shine / April 27, 2022 Ukiona unaweza ukakaa siku nzima bila hata kuwa na wazo moja jipya ujue umezeeka akili tayari na kesho unaweza ukawa haupo
Uwezo wa Kutumia ulichonacho Ukiweza kutumia vizuri kipaji au uwezo mdogo ulionao itakufanya uwe bora na…
Kushindwa jambo sio Makosa Kushindwa jambo sio Makosa, bali kuacha kufanya jambo kabisa ni makosa makubwa.