Wasichana wa leo

Jamaa yupo ndani ya Range rover yake mpya na msichana ambaye ni mpenzi wake.

#Jamaa: kuna siri flani nimeitunza moyoni mwangu kwa muda mrefu na nikaona kama nitakuambia lazima utaniacha.

#Msichana: siri gani hiyo mpenzi wangu?

#Jamaaa: nimeoa.
#Msichanaa: Hษ›ษ›ษ›ษ›ษ›ษ›ษ›ษ›! We umenishtua sana,mm nilifikiri hili gari sio lako!
๐Ÿ™†๐Ÿ™†๐Ÿค—๐Ÿค—

236 thoughts on “Wasichana wa leo”

Leave a Reply to Raphael Okoth Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart