Mfalme Sulemani alikuwa na wake 700 na alichepuka(cheated)na vimada 300 . Mpenzi wako/Mume wako unamfumania na kimada mmoja tu ugomvi na amani imapotea ndani ya nyumba,unasimulia kuanzia padri,mchungaji,ukoo wako mzima,mashoga, stress,vidonda vya tumbo,inapelekea mpaka unaokoka,eti kisa kamuonjesha mmoja☝ sasa akionjesha 700 si utakutwa Mirembe�
Wadada acheni HIZO
😂😂😂😂😂😂.
Hii imenikumbusha kicheko cha zamani! 😂😅
Ucheshi wenu unanifurahisha sana! 😂👏
Siwezi kuamini jinsi hii ni kichekesho! 😂
Kweli mna ucheshi wa hali ya juu sana! 👏😆
Nimecheka hadi machozi 🤣😭