Utoto raha..! Angalia hawa watoto wanachokifanya sasa

Leo nimepulizia Air Fresh yenye Harufu ya Pilau nyumbani kwangu sasa watoto wa Jirani wamehamia Mlangoni kwangu ndio wanacheza hapo. Kila nikitoka wananisalimia. Mama yao ndio kanimaliza kabisa nimetoka akaniambia

“Kumbe wewe ni Mpishi mzuri, Hongera”

Imebidi nisirudi nyumbani maana wale watoto wanaweza kuingia ndani kabisa na pilau hakuna.

#UTOTO RAHA πŸ˜‚

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘†πŸ»πŸ‘†πŸ»πŸ‘†πŸ»

236 thoughts on “Utoto raha..! Angalia hawa watoto wanachokifanya sasa”

Leave a Reply to Francis Mrope Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart