Usichokijua kuhusu sungura, panya na jamii yao

JE WAJUA?

Sungura, panya na Jamii zao huwa na mwendo wa kukimbia na kuruka muda wote na umri wao wa kuishi ni miaka 15. Kobe ni mnyama mwenda pole, asiye na papara wala pilika, muda mwingi hujificha na kupumzika ndani ya jumba lake akikwepa maadui. Umri wa kuishi kobe hufikia hadi miaka 300.
FUNZO: Mazoezi ni kiinimacho na uongo mtupu. Jipumzikie mwaya!!!
πŸƒπŸΎπŸƒπŸΏβ€

236 thoughts on “Usichokijua kuhusu sungura, panya na jamii yao”

Leave a Reply to Linda Karimi Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart