Sitasahau mwaka huu

Sitasahau mwaka ule ambapo nilipeleka barua ya maombi yangu ya kazi kwenye kampuni moja maarufu. Wakati nasubiri majibu siku moja nikaenda kwa mama ntilie kununua maandazi akanifungia vizuri, kufika nyumbani hamu yote ya maandazi iliniishia pale nilipogundua karatasi iliyofungiwa maandazi ni barua yangu ya kuombea kazi😂😂

238 thoughts on “Sitasahau mwaka huu”

    1. je maswali haya una majibu yake swali nimnyama gani anaetembelea miguu 4 kisha anafata 2 kisha anamaliza namiguu 3 nijibu kahuna jibu nichek umu 0681305278

    2. je maswali haya una majibu yake swali nimnyama gani anaetembelea miguu 4 kisha anafata 2 kisha anamaliza namiguu 3 nijibu kahuna jibu nichek umu 0681305278

Leave a Reply to Alice Mrema Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart