Sifa mbaya: Cheki kilichompata huyu mwanaume mpenda sifa

SIFA MBAYA…
Jamaa alikuwa ndani ya daladala Mara simu ikaita alikuwa ni mkewe kwa sifa jamaa akaweka loud speaker ili watu wasikie wanavyopendana.
JAMAA;wife Mara hii umenimiss jaman
WIFE; kwa nini umekunywa uji wa mtoto?!!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

236 thoughts on “Sifa mbaya: Cheki kilichompata huyu mwanaume mpenda sifa”

Leave a Reply to Fikiri Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart