Punguzeni pombe. Cheki kilichompata huyu

Jamani punguzeni pombe,kuna jirani yangu amerudi amelewa sasa nachungulia dirishani naona anagonga mlango wake takribani masaa mawili,wakati hapa anaishi peke yake, kwakuwa sipendagi ujinga nimetoka nikamwambia mwenyewe kasafiri.Nae kaondoka.

236 thoughts on “Punguzeni pombe. Cheki kilichompata huyu”

Leave a Reply to Joyce Aoko Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart