Sidebar with Floating Button
Vichekesho vya AckySHINE
☰
AckyShine

Kisa cha mzaramo na mchaga

Featured Image

MZARAMO V/S MCHAGA.
Mzaramo alitangaza anatibu magonjwa yooooooote
kwa tsh. 100,000/=
Na kama akishindwa kukutibu anakurudishia laki
yako nakukuongeza laki nyingine.
MCHAGA akaona hii fursa yakujipatia hela aiwezi mpita akaenda kutibiwa.
MZARAMO: "unaumwa nini?"
MCHAGA: "Sisikii ladha ya aina yoyote mdomoni kabisaaaa.."
MZARAMO: "sawa, toa laki kabisa.."
Mchaga akatoa.
MZARAMO akamuagiza msaidizi wake; "Naomba kikopo no.27 mpe anywe huyu.."
MCHAGA akanywa akatema faster; "Puh puu puu, Aisee huu si mkojo huu..?"
MZARAMO: "Umepona karibu tena.."
Mchaga aka-mind sana Kesho yake akarudi tena hakuamini ameliwa pesa yake.
MCHAGA: aisee nina tatizo la kumbukumbu nasahau
sanaaaaa.."
MZARAMO akamwambia "hakuna tabu, toa laki tukupe tiba..'
MCHAGA akatoa pesa akijua leo lazima afanikiwe..'
MZARAMO: "nesi naomba kikopo no.27.."
MCHAGA: "ASA CHALII ANGU HICHO SI CHA JANA CHA MKOJO HICHO AISEE..?"
MZARAMO: "UMEPONA KUMBUKUMBU UNAYO.

πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜

AckySHINE Solutions

Comments

Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.

Mariam (Guest) on April 5, 2015

Haha! Sijacheka hivi kwa muda mrefu! 🀣

Related Posts

Hakuna siku mbaya maishani kama hii

Hakuna siku mbaya maishani kama hii

Hakuna siku mbaya maishan kuona mtu uliyesoma naye darasa moja, anakupita na private car,, afu w... Read More

Angalia pombe ilichomfanya huyu jamaa, kweli pombe haimuachi mtu salama

Angalia pombe ilichomfanya huyu jamaa, kweli pombe haimuachi mtu salama

Leo nimeiogopa pombe.

Nimetokea kuiogopa pombe baada ya kumwona jirani yangu akicheza muzik... Read More

Kali ya mwaka iliyotokea Benki Baada ya wezi kuiba

Kali ya mwaka iliyotokea Benki Baada ya wezi kuiba

Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana

..unaenda kuoga, unakumbuka k... Read More

Jambo la kufanya ukitaka mwanaume akusaidie kazi jikoni

Jambo la kufanya ukitaka mwanaume akusaidie kazi jikoni

Fanya hivi

Ukitaka mwanaume akusaidie kazi jikoni mwambie "NAOMBA CM YAKO NIWASHE T... Read More

Lugha za namba ni noma

Lugha za namba ni noma

Leo kuna mdogo wangu nimemtumia meseji nimemuomba aniazime chaja yake ya simu. AkanijibuΒ Read More

Tofauti kati ya Binti wa Kizungu na Binti wa Kibongo mwanamme anapotoka kuoga

Tofauti kati ya Binti wa Kizungu na Binti wa Kibongo mwanamme anapotoka kuoga

Tofauti ya Binti wa Kizungu na Binti wa Kibongo pale ambapo Mwanaume wake atokapo kuoga.

Bi... Read More

Watoto wa siku hizi ni shida! Angalia huyu mtoto anachomwambia baba yake

Watoto wa siku hizi ni shida! Angalia huyu mtoto anachomwambia baba yake

Ka ni wewe? DOGO: baba mi siendi tena shule inaonekana walimu hawana uhakika na majibu yao. BABA: ... Read More
Sababu ya girlfriend πŸ‘§ kuniblock

Sababu ya girlfriend πŸ‘§ kuniblock

Nimeblockiwa bila kosa X Girlfriend From no where kanitext eti Hi; Vp na huko kwenu mvua... Read More

Wale wa kupenda kupewa pewa namba za simu soma hii

Wale wa kupenda kupewa pewa namba za simu soma hii

Unaomba namba ya simu ya mdada af anakunyima ila unalazimisha akupe anaona kuliko muendelee kuong... Read More

Mchaga mmoja kamtoa mke wake out mambo yakawa hivi

Mchaga mmoja kamtoa mke wake out mambo yakawa hivi

*Mchaga mmoja kamtoa mke wake out.*

*mchaga* : _chips yai bei gani?_

*mhudumu*: _elfu... Read More

Huyu bwana leo kapatikana, Jamani nyodo nyingine mbaya

Huyu bwana leo kapatikana, Jamani nyodo nyingine mbaya

Baada ya kumaliza Degree yake ya sheria Bwana Rwegashora aliamua kurudi nyu... Read More

Angalia ndoto nyingine zilivyo na Majanga

Angalia ndoto nyingine zilivyo na Majanga

Ndoto zingine bwana usiombe zikupate

Mimi usiku wa kuamkia Leo nikiwa nimelala nimeota naen... Read More