Wachaga kweli kiboko: Mcheki huyu mchaga na mbuzi!!!
Date: September 15, 2017
Author: SW - Melkisedeck Shine
Mchaga alinunua mbuzi akamwambia mpishi Nyama nusu ipike pilau na ingine itie kwenye friza. Kichwa fanya supu, miguu fanya mchuzi chukuchuku. Ngozi usitupe tutafanya mswala, utumbo pikia ndizi na mifupa tutawauzia wenye mbwa. Kinyesi kihifadhi kwa mbolea ya bustani.
Mpishi akamuuliza Hutaki na sauti ya mbuzi tufanye ring tone kwenye simu yako? Mchaga akajibu Yesuu! hivi inawezekana? bac fanya hivyo tuwauzie na wengine hiyo ringtone. ππ
Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.
Related Posts
DOGO: Mama Jana Baba Alikuja Na Mwanamke Na
Akaanza Kumtoa Nguo Huku Akimuita Beibβ¦
B...
Read More
Mama alichukuwa simu akampa mwanawe. Mama..Mpigie babako mwambie chakula tayari. (Mtoto akachukuw...
Read More
Unapiga kilimo chako unamsomesha girlfriend anafika chuo anakutana na msomi mwenzake anarudi ana...
Read More
Mkishaumizwa ndo utasikia, Moyo sukuma damu sio mengine. wakati mnapenda mlizani moyo ul...
Read More
MAMBO YA FEDHA AISEEβ¦β¦. Kuna jamaa alipewa shilingi 983628763600/= β¦acha uvivu, najua hujas...
Read More
1. Mwanaume hata awe bahili vipi, hawezi kumpa mwanamke mimba nusu.
Read More
DADA alienda Salon wakati anasukwa akaingia
MKAKA mtanashati,
DADA akaamua kujaribu bah...
Read More
Kuna mama mmoja ameolewa na wanapendana sana na mmeo. siku moja mme wake alisafiri kikazi (safari...
Read More
Mwalimu aliingia darasani na kuwauliza wanafunzi juu ya ndoto zao za baadae.
MWAL: John we ...
Read More
Matatizo ni nini???
`Matatizo ni pale unapokuwa umefika ukweni usiku na haja kubwa ikakuban...
Read More
NDOA inafungwa KANISANI Mchungaji akauliza-Yeyote mwenye Pingamizi La Ndoa hii kufungwa aje Mbel...
Read More
WALEVI WAWILI KATIKA MAZUNGUMZO YAO
MLEVI 1Β hivi rafiki ...
Read More
Dorothy Majaliwa (Guest) on November 24, 2017
Nimecheka hadi nimemiss kicheko! ππ
Isaac Kiptoo (Guest) on October 8, 2017
πππ π€£
Ramadhan (Guest) on September 27, 2017
Hii ni dhahabu ya vichekesho! π
Anna Kibwana (Guest) on July 28, 2017
π Ninacheka sana sasa hivi!
George Wanjala (Guest) on June 23, 2017
π Umenishika vizuri!
Sumaya (Guest) on June 11, 2017
Hii kichekesho imenifurahisha sanaβimebamba! π€£
James Kawawa (Guest) on May 23, 2017
πππ π
Diana Mumbua (Guest) on May 10, 2017
π Sikutarajia hiyo ikitokea!
David Musyoka (Guest) on March 17, 2017
Hii ni joke ya kipekee sana! ππ
Robert Okello (Guest) on February 22, 2017
Hii ni aina ya kichekesho usichosahau! π
Bahati (Guest) on February 16, 2017
π Hii ni kali sana!
Agnes Lowassa (Guest) on January 17, 2017
Kweli mna ucheshi! ππ€£
Frank Macha (Guest) on January 15, 2017
π Ilibidi nishiriki hii na kila mtu!
Paul Ndomba (Guest) on January 2, 2017
Hii ni ya kufurahisha! ππ
Irene Makena (Guest) on December 13, 2016
Hii imenipa furaha ya siku! ππ
Thomas Mwakalindile (Guest) on November 23, 2016
Hii imenifurahisha hadi nacheka kwa sauti! π€£π
Rose Lowassa (Guest) on November 17, 2016
Ucheshi wenu ni wa hali ya juu! ππ€£
Lydia Mahiga (Guest) on October 12, 2016
π€£π€£ππ
Abdillah (Guest) on September 29, 2016
π€£ Hii kichekesho ni nzuri sana!
Joyce Aoko (Guest) on August 30, 2016
Hii ni kali sana! ππ€£
Mjaka (Guest) on August 21, 2016
Bado nacheka, hiyo ilikuwa nzuri sana! π€£
Nancy Kabura (Guest) on June 30, 2016
ππ ππ
Arifa (Guest) on June 10, 2016
Hii kichekesho inastahili tuzo! π
Zulekha (Guest) on May 31, 2016
π Nitaiiba hii bila shaka!
Catherine Naliaka (Guest) on May 30, 2016
Kweli mna kipaji cha ucheshi! ππ€£
Peter Mbise (Guest) on May 12, 2016
π€£ Ninashiriki hii na kila mtu!
Neema (Guest) on April 16, 2016
π Hiyo punchline ilikuwa kali!
Christopher Oloo (Guest) on April 15, 2016
Kweli mna ucheshi wa kipekee! ππ€£
Ruth Kibona (Guest) on April 13, 2016
π Kichekesho kamili!
Faiza (Guest) on March 13, 2016
π Umeimaliza kabisa!
Thomas Mwakalindile (Guest) on February 28, 2016
Wow, hii kichekesho ni mshindi kamili! π
Lucy Mahiga (Guest) on February 22, 2016
Mna kipaji cha ucheshi! ππ
Aziza (Guest) on February 17, 2016
π Hii ni dhahabu!
Simon Kiprono (Guest) on February 4, 2016
Hii joke ni ya kufurahisha! π€£π€£
David Musyoka (Guest) on January 9, 2016
πππ
Rose Mwinuka (Guest) on December 24, 2015
Hii imenikuna sana! ππ
Elizabeth Malima (Guest) on December 12, 2015
Hii joke imenikumbusha enzi zile! ππ
Rose Lowassa (Guest) on December 4, 2015
Siwezi kuamini jinsi hii ni kichekesho! π
Mazrui (Guest) on November 19, 2015
π Nalia kwa kweli hapa!
Philip Nyaga (Guest) on November 17, 2015
π€£ Hii kichekesho ni nzuri sana!
George Ndungu (Guest) on November 8, 2015
Mna talent ya jokes! ππ
Hawa (Guest) on October 16, 2015
π Nilihitaji hii!
Ann Wambui (Guest) on October 15, 2015
Hii imenipa kicheko cha siku! ππ
Grace Wairimu (Guest) on September 14, 2015
Sikutarajia hiyo punchlineβkichekesho! π€£
Betty Akinyi (Guest) on September 13, 2015
Kweli mnajua kuchekesha watu! π€£π
Miriam Mchome (Guest) on September 8, 2015
Hii imenifurahisha hadi nacheka kwa sauti! ππ€£
Halima (Guest) on September 8, 2015
Siwezi kusubiri kuieleza kwenye sherehe yangu inayofuata! π
Jackson Makori (Guest) on August 6, 2015
Ucheshi wenu unanifurahisha kila siku! ππ
Mariam Hassan (Guest) on July 6, 2015
Napenda jinsi mnavyofikiria! π€π
Peter Tibaijuka (Guest) on June 20, 2015
Nilikuwa na siku mbaya hadi niliposoma hii! π
David Kawawa (Guest) on May 19, 2015
Hii imenipa kicheko cha siku! ππ€£
Salma (Guest) on May 2, 2015
π Nilihitaji kicheko hiki, asante!
Sarah Karani (Guest) on April 15, 2015
Ucheshi wenu ni wa hali ya juu sana! ππ
Agnes Njeri (Guest) on April 14, 2015
Hii imenifurahisha hadi nacheka kwa sauti! π€£π
Aziza (Guest) on April 12, 2015
π Bado nacheka!
Hashim (Guest) on April 7, 2015
Nilihitaji kicheko hiki, asante kwa kushiriki! π