Mke anamwambia mme wake kuwa angetamani mme wake awe tajiri cheki alichojibiwa

Mke; mme wangu ungekuwa tajiri ningefurahi
Mimi; kwa nini?
Mke; ungekuta na sisi tuna gari nzuri hatutembeu kwa mguu
Mimi; ah wap,unadhani ningekuwa tajiri ningekuwa na wewe?ungekuta natoka na kina wema,zari…
😁😁😁
naona anakusanya nguo zake itakuwa anaenda kufua

236 thoughts on “Mke anamwambia mme wake kuwa angetamani mme wake awe tajiri cheki alichojibiwa”

Leave a Reply to Ruth Mtangi Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart