Kilichotokea baada ya kumdanganya mchungaji wangu

Jumapili baada ya kutoka KANISANI, Pastor akaona simu yangu niliyonunua LAKI 5,akaniuliza hiyo simu umenunua Bei gani?

Kwakuwa natoaga sadaka kidogo,na ZAKA ndo sijawahi kutoa,Nikamjibu nimenunua JANA,ELFU 50, akanipa LAKI MOJA,nikanunue mbili,yake na ya mke wake. Sa najaribu kumuuliza Mungu,kwanini kaamua kuniadhibu mbele ya mchungaji bila hata kunionya!

236 thoughts on “Kilichotokea baada ya kumdanganya mchungaji wangu”

Leave a Reply to Leila Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart