Jamaa amkomesha boss wake

Kuna jamaa alifutwa kazi…

Ikawa kila siku anaenda nyumbani kwa boss wake na kunya mlango wa mbele… Ikawa hv…
boss: _mbona waja kunya kwangu?_
jamaa: _nataka kukuonesha kuwa silali njaa_
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

236 thoughts on “Jamaa amkomesha boss wake”

Leave a Reply to Linda Karimi Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart