Ikitokea hii kwenye chumba cha mtihani

Upo kwenye chumba cha mtihani,
maswalii yamekupiga kinyama
Unaamua kuchukua smartphone ugoogle kisha ucopy na kupaste kwenye booklet yako,

Ghagfla lecturer aningia na wewe kwa woga wako unaficha calculator na kuweka simu mezani,
Hapo ndo utajua shetani naye alikua anasimamia paper.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

236 thoughts on “Ikitokea hii kwenye chumba cha mtihani”

Leave a Reply to James Mduma Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart