Eti ni kweli hii ni sababu wanaume wana Upendo Sana?

Wanaume wana upendo kwa kweli.

Mwanaume hata akipewa kundi la wanawake 90 achague mmoja!! Hata akichagua mzuri kupita wote bado roho itamuuma kuwaacha wale 89 waliobaki!!*
Kwa namna hii wanaume wana Upendo Sana
😂😂😂😂😂😂

236 thoughts on “Eti ni kweli hii ni sababu wanaume wana Upendo Sana?”

Leave a Reply to Edwin Ndambuki Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart