Eti kwa nini Watu hawapostigi hii? Hata selfie sijaonaga

Vijana mkiwa mnaendesha magari mna post mukiwa mpo beach mna post mkiwa kwenye masherehe mna post Lakin mkiwa mmeenda kwa mganga siwaoni kupost mitunguli na vibuyu vya mganga unakuwa je wa zee tena. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

236 thoughts on “Eti kwa nini Watu hawapostigi hii? Hata selfie sijaonaga”

Leave a Reply to Brian Karanja Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart