Dingi kauzu kuliko wote duniani ndiyo huyu hapa

Mtoto: Baba nitumie pesa ya matumizi huku shuleni hali ni mbaya sana la sivyo najinyonga.

Baba: Huku nyumbani hali ni mbaya kuliko huko shuleni kwahiyo kama unajinyonga utapunguza Bajeti, kopa Kamba dukani kwa Mangi nitalipa nikija kuchukua Maiti yako, Mungu akulaze mahali pema peponi Mwanangu…..

236 thoughts on “Dingi kauzu kuliko wote duniani ndiyo huyu hapa”

Leave a Reply to Hellen Nduta Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart