Cheki huyu jamaa alivyoumbuka akiwa ndani ya dala dala baada ya kupokea simu ya mkewe

Jamaa kapokea simu kutoka kwa mke wake ndani ya daladala

jamaa: hellow hellow ( jamaa akawa hasikii vizuri ikabidi aweke loud speaker)

Mke: Umeweka wapi soksi zako yaani nyumba nzima inanuka.

236 thoughts on “Cheki huyu jamaa alivyoumbuka akiwa ndani ya dala dala baada ya kupokea simu ya mkewe”

Leave a Reply to Monica Adhiambo Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart