Cheka kidogo hapa. Huyu Chizi Kachizika Kweli

Mvaa milegezo alizidiwa na pombe akaenda kulala dampo,

Chizi mwingne naye akaenda hukohuko, alipofika dampo akakuta mlevi kalala matako wazi,

chizi akaanza kuyashikashika huku akisema, kweli duniani kuna watu matajiri, haya matako si mazima kabisa wao wameyatupa!πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

236 thoughts on “Cheka kidogo hapa. Huyu Chizi Kachizika Kweli”

Leave a Reply to Mwachumu Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart