Cha kufanya msichana akikukimbia halafu atake kukurudia

……… Kama msichana atakutupa kwa sababu huna pesa, na baadaye unapopata pesa akarudi tena kuomba msamaha… Ndugu yangu….. Msamehe…. Mpe ahadi ya ndoa, mwambie utamuoa…. iambie familia yake unataka kufanya ukarabati wa nyumba yao…… Ondoa paa lote la nyumba yao halafu TOWEKA…..

πŸ˜‚β€¦β€¦β€¦ πŸ˜‚β€¦β€¦.. πŸ˜‚

236 thoughts on “Cha kufanya msichana akikukimbia halafu atake kukurudia”

Leave a Reply to Daniel Obura Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart