Baada ya walevi wawili kuokota kioo hiki ndicho kilifuata

Angalia kilichotokea

Walevi wawili waliokota kioo, mlevi wa 1 akaangalia muda mrefu kisha akasema “hii sura sio ngeni machoni mwangu sema jina tu silikumbuki..! !!

Mlevi wa pili akamnyang’anya kisha nae akaangalia kioo akasema “wee kweli huna akili, si mimi huyu? halafu unajidai hunikumbuki …!!!

236 thoughts on “Baada ya walevi wawili kuokota kioo hiki ndicho kilifuata”

Leave a Reply to Jane Muthui Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart