Alichokisema mwizi baada ya kushinda bahati nasibu

Hapa mtaani kuna mwizi sugu ameshinda mil.10 za bahati nasibu ??.
Alipoulizwa atafanya nini na hela nyingi hizo
Akasema anataka kupanua shughuli zake. Mimi sijamuelewa na sasa hivi watu wameanza kuhama mtaa…
😂😂

236 thoughts on “Alichokisema mwizi baada ya kushinda bahati nasibu”

Leave a Reply to Joy Wacera Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart