SMS nzuri ya kumtumia umpendaye kumwambia unavyompenda na kumridhia
Read and Write CommentsSiku zote kwangu ni sherehe ni wewe unishereheshaye,ukweli
usio na kejeli mapenzi yako yanatii kiu yangu,moyoni
mwangu nimeridhia… .nakupenda daima mpenzi!
Read and Write CommentsSiku zote kwangu ni sherehe ni wewe unishereheshaye,ukweli
usio na kejeli mapenzi yako yanatii kiu yangu,moyoni
mwangu nimeridhia… .nakupenda daima mpenzi!
Dah! Safari yetu ilikuwa ngumu kweli ila hatimaye tumefika japo ni usiku sana hebu tupige hodi tusije kabwa na vibaka hapa nje.
Hodiiiiii, Hodiiiii,
Tunaomba tufungulie Mlango,, sisi tunaitwa FURAHA, AMANI na UPENDO. Tumebeba HEKIMA, BUSARA na MAFANIKIO. Tulikuwa wengi HURUMA na UPOLE wanakuja nyuma. CHUKI na WIVU hawana nauli. TABU ni mahututi. SHIDA yuko jela. MATATIZO amepigwa shoti ya umeme. MIKOSI amefariki njiani. LAANA ameliwa na mamba. UVIVU ameungua na maji ya moto hajiwezi. Tutakuwa nawe daima maana tumefika kwa NEEMA . Mungu akulinde na mabaya yote katika dunia hii. ucku mwema.
Read and Write CommentsUkilala Lala Salama Kumbatia mwili wangu Kama ukinikumbuka Sana Nipigie Kupitia Sim Yangu Matatizo Chuki Lawama Vumilia Mpenzi Wangu.
Read and Write Commentsnipe niridhike,nionjeshe usinilambishe,nikigonga
nikaribishe na penzi le2 2listawishe.
Read and Write CommentsNiseme nini ujue nakupenda? Nifanye nini ujue nakupenda?
Nikuite jina gani ujue ni wewe peke yako upo moyoni
mwangu? Hakika hakuna ila moyo wangu ndio unaosema kuwa
nakupenda, niamini mpenzi
Read and Write CommentsMapenzi ni upepo,mimi sivumi na kupotea,mapenzi ni mahaba
sili nikamaliza,nikimaliza nitakula nini kesho?nakuahidi
kukupenda leo hata kesho ukiwepo na hata usipokuwepo.
Napenda ufahamu kuwa wewe ndiye nikupendae tu
Uzuri wako sio sababu ya mimi kukupenda
Ila nakupenda kwa matendo yako na jinsi ulivyoumbika.
Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa
Read and Write CommentsUkipata tutakula na wala usijali mpenzi wangu.
Ukikosa tutalala na hiyo itabaki siri yanguuuuuuuu.nakupenda mpz
Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa
Read and Write CommentsNafsi yangu inafurahia ya kwamba
wewe ndio chaguo langu, ubavu wangu
tabasamu usoni mwangu ndio siri ya
pendo lako kwangu
Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa
Read and Write Commentsteke la kuku halimuumzi mwanaye sawa na dhati ya mapenzi
haiumzi moyo wa ampendaye,tugombane sasa hivi tupatane
badaye,najua hakuna wasiogombana ,kama wapo siku
wakigombana wataachana.
Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu, kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi?
Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa
Read and Write CommentsPokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa maneno
laini yenye ladha adimu, utamu wake ni kama
apple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuletee
salamu “UHALI GANI MPENZI?”
Imara hautikisiki,kakamavu halishikiki penzi langu kwako
ni nuru daima halizimiki.upo juu katika mapenzi.
Mapenzi mazuri yanasifa zifuatazo, kuridhishana, kupeana
bila kubaniana, kubusiana, kuheshimiana, kujaliana, kusubiriana, kusikilizana. je utaweza kunifanyia yote hayo? nijibu mpenzi.
nikipoteza kitu cha thamani nitauzunika nitasahau ila
nikikupoteza wewe ni pengo lisilozibika kamwe.
Mpenzi kwa mara ya kwanza nilipokuana niliogopa kukuambia,
hata nilipokuambia niliogopa kukupenda, nilipokupenda sasa
naogopa mno kukupoteza. Kusema kweli siko tayari kukukosa
katika maisha yangu.
, – .(. – .
‘. .’
‘ . . . ‘ Napenda tunda hili likupoze makali uliyo nayo moyoni, Nimeliosha kwa maji safi na salama kwa ajili yako lipo tayari kuliwa.
“APPLE” Ni tunda lenye ishara ya UPENDO, AMANI & FURAHA. napenda liwe zawadi kwako siku hii ya leo.
wengi walisema penzi letu lisingedumu,lakini leo twawaacha
midomo wazi kwa misengenyo yao isiyo na maana ,tuendelee
kupendana,wanafiki roho ziwaume!
sioni zawadi ya kukupatia kwa mapenzi
unayonipatia,
moyoni nimekuridhia wewe pekee penzi langu daima
kukupatia nakupenda
Chuki huharibu akili; mapenzi huitibu. Umeitibu akili
yangu.
Recent Comments