Wapo baadhi ya Albino wenye macho ya kuchezacheza na
ambayo hayawezi kulenga pamoja. Hii inaitwa “Nystagmus”.
Albino hawezi kudhibiti hali hii. Wakati jicho moja linalenga
mahali lingine huwa linacheza na hii inafanya kuona sawasawa
kuwa kugumu.
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
Recent Comments