Jinsi ya kutibu chunusi kwa mdalasini na asali Leave a Comment / By SW - Melkisedeck Shine / April 9, 2022 Mchanganyiko wa mdalasini na asali ni dawa nzuri ya kutibu chunusi. Changanya asali vijiko vikubwa viwili na mdalasini ya unga kijiko kikubwa kimoja. Safisha vizuri uso wako. Kisha pakaa mchanganyiko huo kwenye uso wako usiku na asubuhi ujisafishe vizuri uso wako.
Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia mvuke Mvuke husaidia kusafisha ngozi. Ni rahisi sana kutumia mvuke kutibu chunusi. Chemsha…
Mchanganyiko wa asali na mdalasini una faida hizi Mchanganyiko wa mdalasini na asali unasaidia katika mambo ya aiana tofauti tofauti…
Tikiti maji kama dawa ya kutibu nguvu za kiume Mbali ya kuwa ni chanzo kikuu cha Vitamin A, B6, C, ‘Potassium’,…
Faida za kula Karoti kiafya Asilimia kubwa tunapenda kutumia karoti katika kuunga katika mboga ya nyama na…
Utajuaje kama una upungufu wa maji mwilini? Dalili ni hizi Upungufu wa maji ni pale mwili unapopoteza kiasi kingi cha maji kwa…