Sidebar with Floating Button
Vichekesho vya AckySHINE
☰
AckyShine

Mfu wa Mawazo

Featured Image

Ukiona unaweza ukakaa siku nzima bila hata kuwa na wazo moja jipya ujue umezeeka akili tayari na kesho unaweza ukawa haupo

AckySHINE Solutions

Comments

Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.

No comments yet. Be the first to share your thoughts!

Related Posts

Umakini

Umakini

UMAKINI ni siri kuu ambayo wenye akili wote, wasomi na wanasayansi wanaitegemea.

<... Read More
Uzuri na ubora

Uzuri na ubora

Uzuri wa kitu huvutia MACHO lakini ubora wa kitu huuteka MOYO daima. Uzuri haudumu.Read More

Vitu haviwezi kujisogeza

Vitu haviwezi kujisogeza

Kwenye dunia hii vitu haviwezi kusimama kama havijasimamishwa.

... Read More
Maendeleo kwa mfano wa Kobe

Maendeleo kwa mfano wa Kobe

Huwezi kupata maendeleo kwa kusitasita na kuogopaogopa. Hata kobe anayesonga mbele ni... Read More

Matendo ya mtu

Matendo ya mtu

Matendo ya mtu ni tafsiri kuu ya mawazo yake.

... Read More
Siri ya kushinda hasira

Siri ya kushinda hasira

Siri kuu ya kuishinda hasira yako ni kusubiri kabla ya kutenda unapokuwa na hasira.Read More

Thamani ya faida

Thamani ya faida

Huwezi kuona thamani ya kitu ambacho hujakigharamia. Faida haina thamani kama haijagh... Read More

Jaribu Mambo Kadiri uwezavyo

Jaribu Mambo Kadiri uwezavyo

Jarbu Mambo mengi kadiri uwezavyo kwani kwa kujaribu ndivyo tunajua tunaweza au hatuw... Read More

Umbali na upendo

Umbali na upendo

Unapokosa kitu ukipendacho kwa muda mfupi kinapungua thamani, ukikikosa kwa muda mref... Read More

Hakuna uwezo Bila fursa

Hakuna uwezo Bila fursa

Hakuna uwezo bila fursa. Huwezi kusema unauwezo wa kitu kama hauna fursa ya kukifanya... Read More

Changamoto na ugumu

Changamoto na ugumu

Changamoto na ugumu wa jambo upo kwa wale wanaolifanya. Huwezi kukaa na kutazama jamb... Read More

Tamaa ni asili

Tamaa ni asili

Tamaa ni tabia ya kiasili ya kila mtu, tofauti ya mtu na mtu ni namna ya kukabili tamaa.

... Read More