Sidebar with Floating Button
Vichekesho vya AckySHINE
☰
AckyShine

Baadhi ya misemo mikali ya leo

Featured Image

1. Mwanaume hata awe bahili vipi, hawezi kumpa mwanamke mimba nusu.

2. Hata uwe na magari mangapi chooni utaenda kwa miguu.

3. Kama ubinadamu kazi mbona hatupewi mishahara?

4. Ukichanganya wali na choroko unapata mseto, lakini hautibu malaria.

5. Hata njiwa nae ana makinda, lakini hawezi kuwa spika wa Bunge.

6. Hata uwe na haraka vipi kwenda Zenj, huwezi kupanda Jahazi ya Yusuph Mzee.

7. Umeme hauna kiuno lakini unaongoza kwa kukatika.

8. Hata uwe kauzu vipi, huwezi kujamba wakati unatongoza.

9. Hata uwe na imani kali vipi, huwezi kusali wakati unafanya mapenzi.

10. Hata kizibo ni mfuniko lakini hauwezi kufunika sufuria.

AckySHINE Solutions

Comments

Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.

Jacob Kiplangat (Guest) on August 13, 2015

Nimecheka hadi nina furaha sana! πŸ˜†πŸ˜‚

Sarah Karani (Guest) on June 22, 2015

πŸ˜† Nacheka hadi chini!

Nicholas Wanjohi (Guest) on May 24, 2015

Hii imenichekesha sana! πŸ˜„πŸ˜‚

Andrew Mahiga (Guest) on May 2, 2015

Hii imenipa kicheko cha siku! πŸ˜‚πŸ€£

Related Posts

Baada ya kuulizwa nani anapenda kwenda peponi, haya ndiyo yalikua majibu ya wanafunzi

Baada ya kuulizwa nani anapenda kwenda peponi, haya ndiyo yalikua majibu ya wanafunzi

Wanafunzi waliulizwa na mwalimu nani angependa kwenda peponi? Wote wakanyosha ila mmoja tu alipok... Read More

Angalia kilichonikuta nilipoenda kwa mganga

Angalia kilichonikuta nilipoenda kwa mganga

Usije ukaenda kwa mganga, mwenzako yamenikuta, yani masharti niliyopewa, acha tu,
yalikua hi... Read More

Huu ndio Umuhimu wa English katika mapenzi

Huu ndio Umuhimu wa English katika mapenzi

HUU NDO UMUHIMU WA ENGLISH KATIKA MAPENZI

jaribu kumwita mpenzi wako "my sweet potato" a... Read More

Wanaume ni noma, Angalia huyu alivyomdanganya huyu πŸ‘§ girlfriend wake

Wanaume ni noma, Angalia huyu alivyomdanganya huyu πŸ‘§ girlfriend wake

Jamaa kamdanganya girlfriend wake kuwa anasomea HOTEL MANAGEMENT. Siku huyo girlfriend akamkuta ... Read More

Jinsi Mapenzi yanavyoweza kukupa stress

Jinsi Mapenzi yanavyoweza kukupa stress

Mapenzi ni balaa

Mapenzi ujue yanawez kukupa stress adi mama ako akikuuliz what's wrongπŸ€”... Read More

Njia nne za kufikisha Habari kwa haraka

Njia nne za kufikisha Habari kwa haraka

Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana

..unaenda kuoga, unakumbuka k... Read More

Jamaa alikuwa na tabia ya kutembea na binamu yake cheki kilichomkuta

Jamaa alikuwa na tabia ya kutembea na binamu yake cheki kilichomkuta

Jamaa alikuwa na tabia ya kutembea na binamu yake….

Alikuwa anasubiri mjomba na mkewe wal... Read More

Mchaga mmoja kamtoa mke wake out mambo yakawa hivi

Mchaga mmoja kamtoa mke wake out mambo yakawa hivi

*Mchaga mmoja kamtoa mke wake out.*

*mchaga* : _chips yai bei gani?_

*mhudumu*: _elfu... Read More

Angalia walichofanyiana hawa wanadoa, Kati ya huyu mme na mke nani zaidi?

Angalia walichofanyiana hawa wanadoa, Kati ya huyu mme na mke nani zaidi?

MUME wakati anakata roho huku mkewe akiwa amemshikilia alisema mke wangu, mi natubu kwako, kwani ... Read More

Angalia huyu mke wa mtu anavyojichanganya hadi kwa mme wake

Angalia huyu mke wa mtu anavyojichanganya hadi kwa mme wake

MUME: "Mke wangu nasikia John katembea na wake za watu wooote hapa mtaani kasoro mmoja tu!"

Read More
Huyu Jamaa kaona bora afe kuliko mke wake ajue Siri zake

Huyu Jamaa kaona bora afe kuliko mke wake ajue Siri zake

Jamaa Mmoja Alimwambia Mke Wake Wasiliana Na Kitengo Cha Dharura Hospitali, Niko Taabani Nahisi ... Read More

Kwa nini watu hawapendi hesabu!! Sababu hii hapa!

Kwa nini watu hawapendi hesabu!! Sababu hii hapa!

Sababu ni hii

AL-SHABAB
AL-QAEDA
Kwenye MATHEMATICS pia kuna kundi linaitwa

Read More