Sidebar with Floating Button
Vichekesho vya AckySHINE
☰
AckyShine

Sala ya kuomba Kifo chema

Featured Image

Enyi Yesu na Maria na Yosefu,

nawatolea Moyo, na roho, na uzima wangu.

Enyi Yesu na Maria na Yosefu,

mnipokee saa ya kufa kwangu.

Enyi Yesu na Maria na Yosefu,

mnijalie nife mikoni mwenu.

AckySHINE Solutions

Comments

Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.

Samuel Were (Guest) on November 25, 2017

Katika imani, yote yanawezekana

Bernard Oduor (Guest) on June 28, 2017

Mungu akubariki!

Dorothy Nkya (Guest) on June 13, 2017

πŸ™β€οΈ Mungu akubariki

Andrew Mahiga (Guest) on April 12, 2017

Rehema za Mungu ni mpya kila asubuhi

Joyce Aoko (Guest) on April 5, 2017

Mwamini Bwana; anajua njia

Esther Nyambura (Guest) on March 26, 2017

πŸ™πŸŒŸβ€οΈ Nakuombea heri

James Malima (Guest) on March 19, 2017

Tumeokolewa kwa rehema zake, si kwa matendo yetu

Jackson Makori (Guest) on November 11, 2016

Hauko peke yako; Mungu yuko nawe

Lydia Mutheu (Guest) on October 13, 2016

Kupitia Kristo, tunapokea rehema za Mungu kwa wingi

Charles Wafula (Guest) on October 11, 2016

πŸ™πŸŒŸ Neema za Mungu zisikose

Rose Kiwanga (Guest) on May 24, 2016

Bwana yuko karibu na wote wanaomwita

Lucy Kimotho (Guest) on May 13, 2016

πŸ™πŸ’– Mungu wetu asifiwe

Chris Okello (Guest) on May 7, 2016

Nguvu hutoka kwa Bwana

Lucy Kimotho (Guest) on April 12, 2016

Tembea kwa imani, si kwa kuona

Samson Mahiga (Guest) on March 26, 2016

Mungu ana kusudi hata katika maumivu yako

Violet Mumo (Guest) on January 27, 2016

πŸ™β€οΈ Mungu ni mwaminifu

Paul Ndomba (Guest) on December 18, 2015

Hadithi yako haijaisha; Mungu bado anaandika

Alice Mwikali (Guest) on November 29, 2015

Mwamini Bwana kwa moyo wako wote, na usitegemee ufahamu wako mwenyewe

Richard Mulwa (Guest) on November 1, 2015

Kwa Mungu, yote yanawezekana

Jacob Kiplangat (Guest) on October 6, 2015

Rehema zake hudumu milele

Lydia Mzindakaya (Guest) on July 14, 2015

πŸ™βœ¨ Mungu atupe nguvu

Mariam Kawawa (Guest) on June 22, 2015

Endelea kuamini, hata ikiwa ni vigumu kuona njia

Rose Lowassa (Guest) on April 15, 2015

Rehema za Mungu ni mpya kila asubuhi

Related Posts

SALA YA NOVENA YA SIKU TISA KWA MT. YOSEFU, YA ZAMANI, MIAKA 1900 ILIYOPITA

SALA YA NOVENA YA SIKU TISA KWA MT. YOSEFU, YA ZAMANI, MIAKA 1900 ILIYOPITA

Ee Mt. Yosefu, ambaye ulinzi wako ni mkubwa, wenye nguvu na wa haraka mbele ya Kiti cha Enzi cha ... Read More

SALA ZA KUMWABUDU YESU KATIKA EKARISTI TAKATIFU

SALA ZA KUMWABUDU YESU KATIKA EKARISTI TAKATIFU

SALA YA KUMWABUDU BWANA YESU KATIKA SAKRAMENTI TAKATIFU

Ee Yesu Kristu,/ Bwana wangu na M... Read More

SALA KWA MALAIKA WAKO MLINZI

SALA KWA MALAIKA WAKO MLINZI

Malaika wa Mungu Mlinzi wangu mpenzi,
Ambaye upendo wake unanifanya niwepo hapa,
Uwe na... Read More

Kanuni ya imani

Kanuni ya imani

Nasadiki kwa Mungu, Baba Mwenyezi,/ mwumba mbingu na dunia./ Na kwa Yesu Kristu, Mwanaye wa pekee... Read More

LITANIA YA KUWAOMBEA MAPADRE WOTE II

LITANIA YA KUWAOMBEA MAPADRE WOTE II

Kwa ajili ya Baba Mtakatifu wetu ..(N); Bwana, umpe moyo wako wa uchungaji ... Read More

Novena ya Noeli

Novena ya Noeli

Novena ya Noeli (maarufu kama novena ya Mt. Andrea)

Husaliwa kuanzia tar 30 Nov hadi usiku ... Read More

Sala ya Malaika wa Bwana

Sala ya Malaika wa Bwana

Malaika wa Bwana alimpasha habari Maria, naye akapata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu. Salamu M... Read More

Sala ya Medali ya Mwujiza

Sala ya Medali ya Mwujiza

Ee Bikira Maria uliyekingiwa dhambi ya asili, utuombee sisi wenye kukimbilia kwako, uwaombee na w... Read More

ATUKUZWE BABA

ATUKUZWE BABA

Atukuzwe Baba
na Mwana
na Roho Mtakatifu
Kama mwanzo
na sasa,
na siku zo... Read More

Sala ya Baba Yetu: Sala ya Bwana

Sala ya Baba Yetu: Sala ya Bwana

Baba Yetu uliye mbinguni,
jina lako litukuzwe;
ufalme wako ufike,
... Read More

Majitoleo ya asubuhi kwa Bikira Maria

Majitoleo ya asubuhi kwa Bikira Maria

Ee Yesu, kupitia mikono safi ya Bikira Maria, na kwa maungano na sadaka yako kuu, ninakutolea sal... Read More

NOVENA KWA AJILI YA KUJIANDAA KWA SIKUKUU YA MOYO MTAKATIFU WA YESU

NOVENA KWA AJILI YA KUJIANDAA KWA SIKUKUU YA MOYO MTAKATIFU WA YESU

Inaweza kusemwa wakati wowote katika mwaka. Kwa ajili ya kujiandaa kwa Sikukuu ya Moyo Mtakatifu ... Read More