Sidebar with Floating Button
Vichekesho vya AckySHINE
โ˜ฐ
AckyShine

Kali za leo: Misemo ya kuchekesha na kuvunja mbavu

Featured Image

1. Ati wee ni m-black mpaka ukiingia kwa dinga(gari), dirisha zinakuwa tinted!

2. Kwenu kuchafu mpaka mende zinatema mate.

3. Vile wewe mfupi, ukipiga picha ya passport inatokea full.

4. Ati(house) yenu ina gate lakini hakuna fence.

5. Baba alienda ku buy ngombe akaona ikikojoa akasema sitaki hiyo imetoboka.

6.Wee mblack mpaka ukikutana na mzungu afternoon anakusalimia: Good evening.

7. Mko wengi kwa house mpaka kuna rush hours na kukinyesha kunakuwa na jam.

8. Paka yenu noma mpaka ikishika panya inaomba chumvi, fork na pilipili.

9. We ni mrefu mpaka ukikunywa maziwa inafika kwa tumbo ikiwa mgando.

10.Wewe ni mweusi ukikanyanga makaa unawacha footprint nyeusi.

11. Kwenyu mkikunywa maji mnaitisha toothpick

12. We ni mbishi hadi ulikataa kuzaliwa uchi

13. Kwenu kuna insecurity ikifika usiku hadi geti mnaingiza ndani

14. Kwenu ni wengi sana hadi mmeweka round about ndani.

15. Wewe ni mlafi hadi maji uliyochemshia mayai unayafanya supu.

16. We ni mjinga sana hadi blood test ulifeli.

17. Una chogo refu hadi ukigeuka haraka unaweza kuliona.

18. Una kichwa kikubwa hadi ukiingia kwenye daladala konda anakwambia "abiria usiingie na mizigo, tunaweka juu kwenye carrier

AckySHINE Solutions

Comments

Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.

No comments yet. Be the first to share your thoughts!

Related Posts

Kilichotokea baada ya polisi wa kibongo kukutana na mwizi mzungu

Kilichotokea baada ya polisi wa kibongo kukutana na mwizi mzungu

POLISI KAKAMATA MZUNGU 'yestaday I saw u at ze maize shop..(jana nilikuona dukani kwa muhindi) when ... Read More
Cheki jinsi huyu mwanaume alivyomuweza mwanamke wake

Cheki jinsi huyu mwanaume alivyomuweza mwanamke wake

Demu alimpigia simu jamaa yake ilikua weekend mazungumzo yalikua hivi:-

Read More
Kilichotokea kwa binti na mvulana wake walipotaitishwa na baba yake msichana

Kilichotokea kwa binti na mvulana wake walipotaitishwa na baba yake msichana

Msichana alikuwa amekaa na baba yake kibarazani, mara akamuona MVULANAfrien... Read More

Kuwa single nao ugonjwa eh, cheki huyu alichokifanya

Kuwa single nao ugonjwa eh, cheki huyu alichokifanya

Et

Umexhawah kuwa single had ukaamua kununua viatu vya kike kix... Read More

Nilichokifanya wakati naangalia taarifa ya habari

Nilichokifanya wakati naangalia taarifa ya habari

Jana wakati naangalia taarifa ya habar mtangazaji akasema "mpenz mtazamaji nataka nikupe... Read More

Baadhi ya misemo mikali ya leo

Baadhi ya misemo mikali ya leo

1. Mwanaume hata awe bahili vipi, hawezi kumpa mwanamke mimba nusu.

2. Hata uwe na magari m... Read More

Madenge hakosi visa. Soma hii

Madenge hakosi visa. Soma hii

MADENGE
HAKOSI
VISA


baada ya kumaliza form four baba akamwambia achague zaw... Read More

Makonda wana mambo, Kila mtu ni ndugu yao

Makonda wana mambo, Kila mtu ni ndugu yao

Hakuna m2 mwenye ndugu wengi kama konda wa daladala.

Utasikia,
"HAYA, DADA HAPO MBELE,... Read More

Kilichotokea nikiiwa namsaidia mtoto home work

Kilichotokea nikiiwa namsaidia mtoto home work

Kusaidia Mtoto wa Nursery Homework ni Ngumu. Unamuuliza "Nina Pipi Tano, nikiwagawia Wat... Read More

Eti kupooza chai kwa kizungu inaitwaje?

Eti kupooza chai kwa kizungu inaitwaje?

Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana

..unaenda kuoga, unakumbuka k... Read More

Ungekua wewe ndio baba wa Huyu mtoto ungemjibu nini?

Ungekua wewe ndio baba wa Huyu mtoto ungemjibu nini?

MTOTO: Hivi Baba wewe umezaliwa wapi?????
BABA: Mbeya

<... Read More
Hawa wanaume wanaopenda wanawake hovyo barabarani wamepatikana, hawatarudia ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Hawa wanaume wanaopenda wanawake hovyo barabarani wamepatikana, hawatarudia ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Marafiki wawiliย (Jose na Ben)ย walikuwa wanatembea mtaani akatokea mwanamke aka... Read More