Sidebar with Floating Button
Vichekesho vya AckySHINE
☰
AckyShine

Ujumbe mzuri wa SMS wa kumfariji mpenzi wako maisha yake yanapokuwa magumu

Featured Image

Furaha yangu kubwa ni kuliona tabasamu lako, kujua uko na
furaha, na kuhisi upendo wako. Najua kuwa maisha mara
nyingine huwa ni makatili, na hiyo ni sababu niko hapa
kukuonyesha kuwa maisha yanaweza kuwa mazuri kama kuna mtu
anayekujali.

AckySHINE Solutions

Comments

Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.

No comments yet. Be the first to share your thoughts!

Related Posts

SMS nzuri ya kumuomba mtu muwe wapenzi

SMS nzuri ya kumuomba mtu muwe wapenzi

Ama baada ya salamu, mimi ni mzima wa afya njema. Mie ni ndege nipo angani na nimetaf... Read More

Meseji nzuri ya kimahaba ya kumtakia usiku mwema mpenzi wako

Meseji nzuri ya kimahaba ya kumtakia usiku mwema mpenzi wako

Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia, fungua mikono yako na upokee ma... Read More

Meseji nzuri ya kimahaba ya kumtakia mpenzi wako usiku mwema

Meseji nzuri ya kimahaba ya kumtakia mpenzi wako usiku mwema

Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia,
fungua mikono yak... Read More

SMS ya mchana mwema kumwambia mpenzi wako aendelee kufurahia mapenzi yako

SMS ya mchana mwema kumwambia mpenzi wako aendelee kufurahia mapenzi yako

Mpenzi kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu,
huwa najit... Read More

SMS nzuri ya kumwambia mpenzi wako mpendane

SMS nzuri ya kumwambia mpenzi wako mpendane

Dhamira kuu ya Moyo wangu ni Mapenzi, kukupenda kwa dhati bila kipingamizi, kuishi na... Read More

SMS ya kumwambia mpenzi wako unampenda na hauna mpango wa kumuacha

SMS ya kumwambia mpenzi wako unampenda na hauna mpango wa kumuacha

Hata kama nitajidanganya kwamba sikupendi, moyo wangu
umeganda kwako na hakuna d... Read More

Ujumbe mzuri wa mapenzi wa kimahaba kumwambia mpenzi wako unavyompenda

Ujumbe mzuri wa mapenzi wa kimahaba kumwambia mpenzi wako unavyompenda

Mpenzi huwa unanipagawisha unaponipumulia pumzi masikioni
nasikia raha.
Nil... Read More

Ujumbe wa kimapenzi kumwambia mpenzi wako kuwa umelipata penzi ambalo ndio kutoka kwake tuu

Ujumbe wa kimapenzi kumwambia mpenzi wako kuwa umelipata penzi ambalo ndio kutoka kwake tuu

Penzi, maisha yangu yote nimesoma juu ya neno hili,
nimeota juu yake, nimelilia,... Read More

SMS ya kumtumia mpenzi wako kumuahidi kuendelea kumpenda daima

SMS ya kumtumia mpenzi wako kumuahidi kuendelea kumpenda daima

Moyo wangu umehifadhi hisia zako, nakuahidi kamwe sintopunguza upendo kwako, tunza sm... Read More

Ujumbe wa kimahaba wa kumwambia mpenzi wako anavyokukosha na kumuomba asiende kwa mwingine

Ujumbe wa kimahaba wa kumwambia mpenzi wako anavyokukosha na kumuomba asiende kwa mwingine

Hakika nimepata tabibu, maradhi yangu wajua kujyatibu,
napenda jinsi unavyonitib... Read More

Meseji ya kumsisitiza mpenzi wako muendelee kupendana

Meseji ya kumsisitiza mpenzi wako muendelee kupendana

wengi walisema penzi letu lisingedumu,lakini leo twawaacha
midomo wazi kwa misen... Read More

SMS ya kumwambia mpenzi wako kuwa unampenda kweli

SMS ya kumwambia mpenzi wako kuwa unampenda kweli

Ukweli lazima nikwambiye kwa kuwa sina kimbilio nakupenda kijana mwenzio sijui kwanin... Read More