SMS ya kimahaba ya upendo ya kumtumia mpenzi wako anapoenda kwa mwingine
Updated at: 2024-05-25 15:21:53 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Nakupenda sana mwandani wangu ndiyo maana moyo wangu hupatwa kidonda ninaokuona na mwingine hasa anapokuwa hana sifa, nahisi kama anakutumia wewe kama mdori wake wa kumfurahisha. Uwe makini ua la moyo wangu.
Updated at: 2024-05-25 15:26:16 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Swt ulivyoumbika wengi wanateseka juu yako ,najua wanakusumbua ni vema usiwakubalie, ukweli umebarikiwa uzuri umeshushiwa na dhati ya penzi umetunukiwa nakupenda
Ujumbe wa mahaba wa kumtumia umpendaye kumwambia anahisia gani kuhusu mapenzi
Updated at: 2024-05-25 15:23:32 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
mapenzi ni hisia zilizopo moyoni mwetu,hujidhihirishe pale unapopata umpendaye,utamu wake ni zaidi ya sukari uchungu wake ni zaidi ya shubiri je kwako yapo je?