Chezea paka wewe, Angalia kilichomkuta huyu na paka wake
Updated at: 2024-05-25 17:02:32 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Jamaa alichukua paka wake na kwenda kumtupa mbal,aliporudi nyumban alimkuta paka amekwisharudi,jamaa alikasirika sana.
Siku ya 2 akamchukua na kwenda naye zaid ya kilometa 50 akapiga chochoro za kutosha kisha akamtupa,akaanza safar ya kurud nyumban baada ya muda akampigia cm mkewe.Vp mke wangu huyo paka yupo? MKE:Ndio mume wangu tena ametulia hapa kwan imekuaje? JAMAA:hebu mpe cm anielekeze njia ya kurud nimepotea๐ณ
Updated at: 2024-05-25 17:56:43 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
HABARI MPASUKO..
jana katika taasisi ya wanyama pori ya Nat Geo ilitangazwa kuwa ametokea Nyoka hatar san Ambaye hajawah kutokea duniania.. wanadai kwamba nyoka huyo anaongezeka ulrefu wa 0.5sm kila akila chakula na huwa anakula chakula kuanzia sekunde 30 kurudi nyuma.. mpaka sasa hakuna siraha ya kuweza kumuua nyoka huyo isipokuwa akiji uma mwenye ndo anaweza kufa, wanasayansi hao walieleza japo uchunguz zaid bado unaendeleaโฆ huyu ni nyoka anayeua kuliko nyoka wote waliowah kutokea katika historia ya maisha ya mwanadam..
nyoka huyu hupatikana katika simu pekee za nokia toch katika sehem ya game inaitwa snake xenzia..
asanteni kwa kufurah na umakin mkubwa katika usomaji wa matini hiiโฆ
haya ni mambo ya wikiend jaman na iwe njema kwenu wote
Updated at: 2024-05-25 17:17:50 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mzee moja alikuwa kila usiku anapita mbele ya bank anasimama,kisha anapiga honi,akitoka askari mlinzi,anaondoka.Hilo jambo likamkera sana askari mlinzi, askari akawa na mvizia yule mzee wa kichaga ,siku alipokuja tena akamkamata, akamuuliza kwa nini unakuja unapiga honi kisha unakimbia? Mzee akasema: Haki ya mungu babaangu , Nina pesa zangu ktk account hapa bank naogopa usilale usingizi ndo maana kila siku usiku napita kukuangalia kama umelala!! ๐๐๐๐๐๐
Updated at: 2024-05-25 17:49:47 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Babu: Mjukuu wangu ngoja nikusimulie hadithi ya mimi babu yako kwenye vita ya kagera Mjukuu: Niambie babu Babu: Kwenye vita ya kagera tulienda sehemu tukakamatwa wote askari na maadui wakatuambia chagueni kuuliwa au kubakwa. Mjukuu: Sasa babu wewe ulichagua nn? Babu: Niliuliwa!!!
Watoto wa siku hizi ni shida! Angalia huyu mtoto anachomwambia baba yake
Ka ni wewe?
DOGO: baba mi siendi tena shule inaonekana walimu hawana uhakika na majibu yao.
BABA: Kwanini unasema hivyo?
Updated at: 2023-04-29 22:53:48 (2 years ago by Melkisedeck Leon Shine)
Ka ni wewe?
DOGO: baba mi siendi tena shule inaonekana walimu hawana uhakika na majibu yao.
BABA: Kwanini unasema hivyo?
DOGO: juzi walisema 3+4= 7, jana wakasema 1+6=7, halafu leo wanasema 5+2=7 sasa huoni kama wanatuchanganya.
ungekua wewe ungemjibu nini