Updated at: 2024-05-25 17:11:24 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Kuna siku nilichalala kipesa nikaamua kuomba dem wangu aniazime 10,000/= akanipa. Baada ya siku mbili nikapata pesa zaidi ya laki nne hivi, nikaamua kumpa 100,000/= mpenzi wangu bila yeye kuniomba. Baada ya siku 3 akaja kuniambia:- "Bae, ile 10,000/- niliyokuazima mwenyewe amekuja kunidai, so kama unayo naomba unipe nimrudishie maana ananisumbua leo siku ya 3." SAA HIZI NIPO ZANGU SINGLE NATAFUTA DEM MWINGINE
MAJIBU YA MAKONDA WA DALADALA ZETU GONGOLAMBOTO HUKU
1. wewe Dada unaturingia nini na matiti yako mawili , mbwa pia ana matiti nane na haturingii eboo !!!!
2. Ka wafikiri Una haraka sana Shuka ukimbie.
3. Nauli kulipa lazima ,Chenji ukikumbuka.
Updated at: 2024-05-25 18:05:15 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
1. wewe Dada unaturingia nini na matiti yako mawili , mbwa pia ana matiti nane na haturingii eboo !!!!
2. Ka wafikiri Una haraka sana Shuka ukimbie.
3. Nauli kulipa lazima ,Chenji ukikumbuka.
4. Kutapika ndani ndani ya Daladala fain 250/= ,ukijamba pia 250/= ,Sasa jamba tukujue viti vina alarm!โฆ
5.Hatujasema wewe ni Mnene ila Ukikalia SITI mbili Lipiaโฆ.
6. Hio Elfu kumi yako nenda nunua avocado upake alafu uteleze hadi posta ,nauli ya daladala ni 350/=.
7. usifungue dirisha ungetaka upepo ungepanda pikipiki..
8. wewe Dada hebu sogea hukoo, Unaringa nini wakati asubuhi hii umeoga na sabuni ya kuoshea vyomboโฆ
Ungekua wewe ndio mama wa huyu mtoto ungemfanyaje?
Updated at: 2024-05-25 17:11:12 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Kuna mtoto mmoja aliamka kutoka usingizini alipokuwa kalala na mama yake na kupiga kelele "mamaa" mama yake akaamka na kumwambia nin mwnangu mtoto akajibu "mama nimeota ndoto mbaya sana" ndoto gani hyo mwanangu mtoto akajibu "nimeota tumefungua shule"
Jamaa kaingia Bar; Jamaa: Muhudumu, nipe kinywaji na mpe kila mtu humu ndani kinywaji, maana wakati napata kinywaji lazima kila mtu apate kinywaji. Haraka sana muhudumu akagawa vinywaji,
Updated at: 2023-04-29 22:53:32 (2 years ago by Melkisedeck Leon Shine)
Jamaa kaingia Bar; Jamaa: Muhudumu, nipe kinywaji na mpe kila mtu humu ndani kinywaji, maana wakati napata kinywaji lazima kila mtu apate kinywaji. Haraka sana muhudumu akagawa vinywaji,
Jamaa: Muhudumu nipe supu na kila mtu humu ndani mpe supu maana ninapokunywa supu kila mtu lazima anywe supu. Watu wakapewa supu tena safari hii wakapiga makofi. Jamaa: Muhudumu nipe bili, na kila mtu humu ndani mpe bili maana wakati nalipa bili yangu kila mtu lazima alipe yake. Zogo lilianzia hapoโฆโฆ.
Huu ndio mlolongo wa michepuko kuwahi kutokea kati ya mke, mume mwanafunzi na boss
BOSS anamwambia sekretari wake: Wiki hii tutaenda wote Serena Hotel kwenye mkutano fanya mipango yote.
SEKRETARI (anamuaga mumewe): Tunaenda na bosi Serena hotel kwenye mkutano for 1 week.
MUME (anampigia mpango wa kando): Mambo safi, wife anaenda kikazi Serena, jitayarishe tujipe raha for 1 week
(Mpango wa kando) anamwambia mwanafunzi wake wa tution: wiki hii nina kazi fulani hakuna tution mpaka week ijayo.
Updated at: 2023-04-29 22:53:20 (2 years ago by Melkisedeck Leon Shine)
BOSS anamwambia sekretari wake: Wiki hii tutaenda wote Serena Hotel kwenye mkutano fanya mipango yote. SEKRETARI (anamuaga mumewe): Tunaenda na bosi Serena hotel kwenye mkutano for 1 week. MUME (anampigia mpango wa kando): Mambo safi, wife anaenda kikazi Serena, jitayarishe tujipe raha for 1 week (Mpango wa kando) anamwambia mwanafunzi wake wa tution: wiki hii nina kazi fulani hakuna tution mpaka week ijayo. MWANAFUNZI anampigia simu sugar daddy wake ambaye ndo (BOSS): Dear hakuna tution wiki hii nakuja kwakoโฆ..
BOSS anamwambia sekretari wake: Siendi Serena tena coz mjukuu wangu atanitembelea. SEKRETARI: Mume wangu hatuendi Serena MUME (anampigia Mpango): dah! mpenzi, huyu mke wangu haendi tena. Shit! So hadi next time plz Mpango wa kando a.k.a teacher (anampigia mwanafunzi): Darasa kama kawaida sorry for the earlier message. MWANAFUNZI: darling tution inaendelea kumbe, so nakuja wiki ijayo!! BOSS: Sekretari sorry jitayarishe ile safari ya Serena iko palepaleโฆโฆ
Updated at: 2024-05-25 17:17:14 (11 months ago by SW - Melkisedeck Shine)
Ni noma!
Baada ya Talaka mke kamtumia mume meseji:- "Nasikitika kukujulisha kuwa binti uliyemlea kwa miaka 20 sio mtoto wako" Mume akamjibu:- "Duh! Nashukuru Mungu kwani nilikuwa nikiumia rohoni kila siku kwamba nazini na binti yangu" ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐