Kulambana sehemu za siri ni salama kiafya? Je, tendo hili ni la kawaida?
Date: April 17, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Si rahisi kusema ni kitendo kipi kilicho cha kawaida na kisicho cha kawaida. Kulamba ni jambo linalofanyika
na kama wahusika wote wanalipenda ni sawa. Inashauriwa kuosha sehemu za siri kabla ya kufanya hivyo. Kwa kufanya hivyo, yaani kunawa kunafanya tendo hili kufanyika katika hali ya usalama kiafya. KAMA wote mtakuwa wazima bila kuwa na maambukizi ya magonjwa ya zinaa hasa kisonono (gono).
Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.
Related Posts
Habari za leo wapenzi wangu! Nami nina furaha sana kuwa hapa leo kuongelea kuhusu swala la ngono ...
Read More
Urafiki mzuri ni msingi muhimu wa kuanza uhusiano wa kimapenzi. Kujenga urafiki mzuri na msichana...
Read More
Jambo la msingi ni kutokukata tamaa na kuwa na matumaini. Mara nyingine i inasaidia kama utakuwa ...
Read More
Kwa nini inapendekezwa Kufanya Ngono na Mtu Mmoja Tu? π
Karibu vijana wenzangu! Leo tut...
Read More
Jeshi la polisi limeanza mikakati maalumu kuchunguza masuala
yote yanayohusu vitendo hivyo, ...
Read More
Hakuna mwenye kosa, kwa sababu jinsia ya mtoto i inategemea na bahati na hamna uwezekano wa kupan...
Read More
Kinga ya mwili ni mpangilio wa mwili kujikinga na maradhi. Chembechembe nyeupe zilizopo katika damu ...
Read More
Hapana, mbu na wadudu wengine hawawezi i kukuambukiza virusi vya UKIMWI kutokana na mfumo wa mii ...
Read More
Kwa nini Ni Lazima Kufanya Ngono na Mtu Mmoja Tu? π
Habari za leo vijana wangu! Leo tut...
Read More
Mapenzi salama ni yale yanayofanyika bila wasiwasi wa kupata mimba zisizotarajiwa, magonjwa ya zi...
Read More
Ndiyo. Hapa Tanzania kuna kitengo maalumu kinachojishughulisha
na masuala ya akili. Wataalam...
Read More
Salamu! Karibu kwenye makala ya leo kuhusu mbinu za kujizuia mimba wakati wa ngono. Ni jambo muhi...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!