Sidebar with Floating Button
AckySHINE SMSπŸ’ŒπŸ’•
☰
AckyShine

Maswali ya kijinga yakijibiwa vizuri

Featured Image

Haya ndiyo majibu mazuriπŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Q: Umenyoa nywele?

A: *Hapana, nimebadilisha kichwa.*

Q: Hiyo simu umenunua?

A: *Hapana nimeitengeneza mwenyewe.*

Q: Utakula mboga na nini?

A: *Mdomo*

(Simu inaita usiku,then aliyepiga anauliza) Q: Nimekuamsha?

A: *Hapana nilikuwa naota jua hapa nje.*

Q: Gazeti la leo linasemaje?

A: *Sijaongea nalo.*

Q: Gari limejaa, nitakaa wapi?

A: *Usijali dereva anashuka kituo kinachofata utapata kiti.*

Q: Hiyo ni ajali?

A: *Hapana ni driver ameamua kupark gari upside down* .

Q: Umepause movie?

A: *Hapana wamechoka kuact wanarest.*
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸƒβ€β™‚πŸƒβ€β™‚πŸƒβ€β™‚πŸƒβ€β™‚πŸƒβ€β™‚πŸƒβ€β™‚

AckySHINE Solutions

Comments

Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.

Latifa (Guest) on June 30, 2015

😁 Imeongezwa kwenye vipendwa!

Carol Nyakio (Guest) on June 13, 2015

Wow, hii kichekesho ni mshindi kamili! πŸ†

Vincent Mwangangi (Guest) on June 5, 2015

Hii joke ni ya kufurahisha! 🀣🀣

Edward Lowassa (Guest) on May 15, 2015

Hii imenipa furaha ya siku! πŸ˜†πŸ˜‚

Monica Adhiambo (Guest) on April 4, 2015

πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜Š

David Nyerere (Guest) on April 3, 2015

πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜‚

Related Posts

SMS Mafua ndiyo hii

SMS Mafua ndiyo hii

JE UMESHAWAHI KUONA SMS MAFUA?
Cheki hii hapa……..


"Mabo dugu yagu mziba? Bwa... Read More

Kilichompata huyu anayependa kusoma SMS za watu kwenye daladala

Kilichompata huyu anayependa kusoma SMS za watu kwenye daladala

Jana nilipanda daladala nikapata seat nikaketi, nikawa nimejiachia ninachati kwenye simu yangu(Sm... Read More

Eti hii ni kweli kwa mwanaume anayempa simu mkewe

Eti hii ni kweli kwa mwanaume anayempa simu mkewe

Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana

..unaenda kuoga, unakumbuka k... Read More

Kilichotokea baada ya jambazi kuvamia kanisa

Kilichotokea baada ya jambazi kuvamia kanisa

Jambazi mmoja aliingia kanisani na bunduki akapiga risasi juu ya bati akasema "asiyempenda YESU a... Read More

Soma alichokisema mlevi baada ya kukuta watu wakimpiga mwizi

Soma alichokisema mlevi baada ya kukuta watu wakimpiga mwizi

Mlevi mmoja aliona wananchi wakipiga mwizi akawaambia "mwacheni msimpige, hii tabia yenu ya kupi... Read More

Unakumbuka hizi enzi za utoto?

Unakumbuka hizi enzi za utoto?

Kitambo tukiwa watoto ulikuwa unaitwa uje ule kwa lugha tofauti kulingana na chakula kilichopikwa... Read More

Jambo la kufanya ukitaka mwanaume akusaidie kazi jikoni

Jambo la kufanya ukitaka mwanaume akusaidie kazi jikoni

Fanya hivi

Ukitaka mwanaume akusaidie kazi jikoni mwambie "NAOMBA CM YAKO NIWASHE T... Read More

Ujinga wa ndoto ndio huu

Ujinga wa ndoto ndio huu

πŸ‘‰Ujinga wa ndoto ndiyo huu
β€’β€’Utaota umeokota dolla ukiamka empty…
β€’β€’Utaota... Read More

Kama simu yako ina wifi

Kama simu yako ina wifi

Kama simu yako ina Wi-fi ujue uko na mke wa mtuΒ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ... Read More

Namna wazazi wanavyoongea na mabinti katika umri tofauti

Namna wazazi wanavyoongea na mabinti katika umri tofauti

Miaka 13: Usipende wavulana ni wabaya.
Miaka 18: Sitaki nikuone na yule mvulana tena!
M... Read More

Hapo sasa patamu, cheki jamaa alivyowezwa na huyu dogo

Hapo sasa patamu, cheki jamaa alivyowezwa na huyu dogo

Mfugaji mmoja alikwenda kwa mfugaji mwenzake (ambae pia ni bwana mifugo wa eneo lao) asubuhi moja... Read More

Nilichokifanya wakati naangalia taarifa ya habari

Nilichokifanya wakati naangalia taarifa ya habari

Jana wakati naangalia taarifa ya habar mtangazaji akasema "mpenz mtazamaji nataka nikupe... Read More