Sidebar with Floating Button
AckySHINE SMS💌💕
AckyShine

Vichekesho kumi bora vya leo vya kuvunja mbavu

Featured Image

1. Maswali haya je una majibi? JIBU KISHA NITUMIE MAJIBU![mtihani wa maarifa ya dunia]
1. Kama hela haioti kwny miti, kwnn bank zina matawi?
2. Kwnn gundi haigandi kwenye chupa yake?
3. Kama tunatakiwa tusi-drive wkt tumekunywa, kwnn bar kuna parking?
4. Kama neno abbreviation linamaanisha ufupisho, kwnn lenyewe ni refu hvo?
5. Kama tunatakiwa kufanya sex ndani ya ndoa 2, kwnn tunabalehe kabla ya kufunga ndoa? Kazi kwako…



2.Taxi Mwanamke aliingia kwnye tax akiwa hana nguo,km alivyozaliwa!Dereva akawa anamshangaa,mwanamke akamuuliza hujawahi kuona uchi au! Dereva akajibu.ninachoshangaa c uchi wako,najiuliza pesa ya kunilipa utakuwa umeiweka wapi?


3.Siri Baba: mwanangu, enhe shika hii 500Tsh usimuambie mama yako kuwa nimelala na housegirl. Mtoto: sitaki, tatizo we baba ni mbahiri sana mwenzio mama akilala na dereva ananipaga 1,000Tsh.


4.Tendo la ndoa TENDO LA NDOA LINAVYOOMBWA:

WAMASAI: Mama Yeyo nipe ile kitu namesa mwensake

WAHAYA: Mama Koku infacti njoo tuperform

WACHAGA: Mama Manka Fungua Kibubu nitupe shilingi

WAPEMBA: Mama Ali panua paja mti waja!

WAZARAMO(hamna tafsida)andaa k*#, m*$$ yaja


5.Short na Long Call Kama haja ndogo ni ''short call'' Haja kubwa ni "long call" Basi kujamba iitwe "missed call"


6.Heshima Mtoto kaona nyeti ya baba yake, Akauliza "nini hii"? Baba,akajibu "ni Heshima", kesho yake wakaja wageni, baba akamwambia mtoto, "toa heshima kwa wageni", mtoto akatoa Nyeti yake, akaonesha, wageni wakashangaa! mtoto akasema "mnashangaa haka kadogo, baba anayo heshima kubwaaa……!


7.Kurudi shule Mtoto kamuuliza babake; " Eti baba, Unataka kuanza tena shule? Baba akauliza: "kwa nini Umeuliza hivyo? Mtoto akamwambia: Jana uthiku, nilickia ukimnong'oneza mama" Eti, kama anapenda, Muende la pili..! " Hivi Baba mimi niko la nne wewe na mama itakuwaje mwende la pili? Uthikubali hata kdogo"


8.Mchaga. Mchaga alipata ajali alipozinduka pale hospitali akauliza "nipo wapi hapa?" Nesi akajibu,"umepata ajali, hapa upo hospitali. Bahati mbaya umekatika mkono." Mgonjwa: Na je saa yangu ipo wapi ya Rolex? Ipo mzee, nesi alijibu. Nesi: Mkeo na watoto wapo hapa kukufariji. Mgonjwa: Yeuwi… Wamefunga duka?


9. Kimombo na sms Jamaa katumiwa msg na dem wake,kutokana na urefu wa msg ikashindwa kufika yote mwishoni ikaandika'some text missing'jamaa kizungu hajui hivyo maneno ya mwisho hakuelewa maana yake lkn akahisi litakuwa neno la kimahaba,kusudi aonekane mjanja akajibu, "some text missing too dear"


10.Vibweka vya housegirl Mama mwenye nyumba "jamani nyie watoto wa nyumba hii, vijiti vya meno nimeleta juzi tu leo vimeisha?" Ndipo hoousgirl akadakia na kusema "mama mimi simo humo maana kila nikitumia nikimaliza tu navirudishiaga humo humo."

AckySHINE Solutions

Comments

Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.

Elizabeth Malima (Guest) on April 7, 2015

Nimecheka hadi nina furaha sana! 😊😂

Related Posts

Hawa wanaume wanaopenda wanawake hovyo barabarani wamepatikana, hawatarudia 😂😂😂

Hawa wanaume wanaopenda wanawake hovyo barabarani wamepatikana, hawatarudia 😂😂😂

Marafiki wawili (Jose na Ben) walikuwa wanatembea mtaani akatokea mwanamke aka... Read More

Jamaa amkomesha boss wake

Jamaa amkomesha boss wake

Kuna jamaa alifutwa kazi…

Ikawa kila siku anaenda nyumbani kwa boss wake na kunya mlango ... Read More

Angalia jamaa alivyouweza huu mchepuko wake

Angalia jamaa alivyouweza huu mchepuko wake

Kuna mchepuko nilimtumia nauli jana ili aje,.kwang sasa leo kaniambia eti " nimesahau ile line ye... Read More

Angalia Kiingereza kilivyoniponza

Angalia Kiingereza kilivyoniponza

Shikamoo kingereza..!

Baada ya kufika Kempiski nikaona menu imeandikwa:

Saute... Read More

Angalia huyu jamaa alivyoachika na msichana wake kwa kujidai kuongea kingereza na mwishowe kuchanganya maneno

Angalia huyu jamaa alivyoachika na msichana wake kwa kujidai kuongea kingereza na mwishowe kuchanganya maneno

MSICHANA: Mbona jana nimekupigia simu hujapokea?
JAMAA: please beby forget me.
MSichAnA... Read More

Duh! Hii sababu ya huyu mwanaume kulewa ni shida

Duh! Hii sababu ya huyu mwanaume kulewa ni shida

👧: "Mpenzi, nakuomba uache kulewa"

👨: "poa, na wewe acha ... Read More

Bongo usanii mwingi!!!

Bongo usanii mwingi!!!

BONGO USANII UMEZIDI DAAH!!

…yani nakupeleka dinner unakula sana vipaja vya kuku na chips... Read More

Angalia hawa vichaa walichokifanya, Vichaa bwana, ni noma!

Angalia hawa vichaa walichokifanya, Vichaa bwana, ni noma!

Vichaa walipanga kutoroka, wakakubaliana wamnyonge mlinz... Read More

Muda mzuri wa kulipa mahari

Muda mzuri wa kulipa mahari

Amini Nawaambieni

Hakuna Muda Mzuri wa Kulipa Mahari Kama Mwezi January. Baba Mkwe Anapo... Read More

Kichekesho cha mtalii na mbongo

Kichekesho cha mtalii na mbongo

Duh! Sikubali bora mbavu zituume wote!

Watalii wana dharau sana bana, Mtalii alikodi boti a... Read More

Maujanja ya kumkalisha mwanamme wako nyumbani weekend haya hapa

Maujanja ya kumkalisha mwanamme wako nyumbani weekend haya hapa

Siku hizi wa naume licha ya kukimbia nyumba zao kwa kisingizio cha kazi maajabu weekend hasa Juma... Read More

Baada ya kuumizwa kimapenzi haya ndiyo maneno

Baada ya kuumizwa kimapenzi haya ndiyo maneno

Mkishaumizwa ndo utasikia, Moyo sukuma damu sio mengine. wakati mnapenda mlizani moyo ul... Read More