
Namna wazazi wanavyoongea na mabinti katika umri tofauti
Miaka 13: Usipende wavulana ni wabaya.Miaka 18: Sitaki nikuone na yule mvulana tena!Miaka 23: Lini utatuletea mchumba wako?Miaka 26: Wenzio wanaolewa.Miaka 30: Tumekuambia kwamba achakuchagua sana wanaume, hutaki kusikia!Miaka 33: Kuna mtu wa Mungu yupo kuleanaombea unaweza kupata mchumbaMiaka 36: At least pata mtoto mmoja.Miaka 39: We will take care of all the weddingbills…yeyote ni …
Namna wazazi wanavyoongea na mabinti katika umri tofauti Read More »

Alichofanya maasai baada ya kupanda Tax
Baada ya kupanda daladala aina ya DSM kutoka Mbagala chalambe mpaka Mwenge na kulipa sh 500.Masai akachukua tax wakati wa kurudi.walipofika sasa shughuli ilikuwa hivi.
Masai: we dureva? Naulisa Ng’ombe na mbusi ipi ngali?
Dereva: Ni ng’ombe ghali Masai.

Angalia kilichojiri katika semina ya wanandoa kuhusu upendo
Kulikuwa na semina ya wanawake kuhusu namna ya kuishi kwa upendo katika ndoa.Mwalimu aliwauliza ni wangapi wanawapenda waume zao? Wote wakanyoosha mikono kama ishara ya kuwa wanawapenda waume zao.Mwalimu akauliza tena, “Ni lini mara ya mwisho umemwambia mumeo “Nakupenda Mpenzi”? Majibu yalikuwa kama ifuatavyo:Wengine wakisema Asubuhi ya leo,Wengine jana,Wengine wiki iliyopitaWengine mwezi uliopitaNa wengine wakasema …
Angalia kilichojiri katika semina ya wanandoa kuhusu upendo Read More »

Wazo la jioni hii
📢WAZO LA JIONI HII 📢 KAMA MWAKA JANA ULIPIGA HATUA NA HUJAFIKIA MALENGO MWAKA HUU PIGA MSAMBA😝 Read and Write Comments

Kilichotokea baada ya jambazi kuvamia kanisa
Jambazi mmoja aliingia kanisani na bunduki akapiga risasi juu ya bati akasema “asiyempenda YESU atoke nje” wakatoka wote ispokuwa Mchungaji na Wazee wawili.

Huyu jamaa kawaweza wapenda vya bure
Jamaa kaingia mgahawani kwa fujoJAMAA : Nipe soda moja na kila mtu mpe yake maana ninapokunywa soda napenda kila mtu anyweWATU : Ha! Ha! Ha! Haaaa!JAMAA : Nipe mchemsho na kila mtu mpe wa kwake maana ninapokula mchemsho napenda kila mtu ale wakeWATU: Watu weweeee! Tena safari hii Na makofi juu..JAMAA : Mhudumu, nipe bili na kila mtu mpe yake …

BREAKING NEWS!!! Nyoka wa ajabu agundulika
HABARI MPASUKO.. jana katika taasisi ya wanyama pori ya Nat Geo ilitangazwa kuwa ametokea Nyoka hatar san Ambaye hajawah kutokea duniania.. wanadai kwamba nyoka huyo anaongezeka ulrefu wa 0.5sm kila akila chakula na huwa anakula chakula kuanzia sekunde 30 kurudi nyuma.. mpaka sasa hakuna siraha ya kuweza kumuua nyoka huyo isipokuwa akiji uma mwenye ndo …

Nilichojibu kwenye interview walipoulizia status
Nimetoka kufanya interview wakaniuliza status yangu nikaawabia status yangu ni Hey there! Iam using watsApp, wameniambia nitoke nje I think wanajadiliana namna ya kunipangia kituo cha kazi Read and Write Comments

Cheki tulichokifanya jana
JANA APA HOME JENERETA LILIWASHWA ACHA TUHANGAIKE KULIKUNA 😂😂😂😂😂 Read and Write Comments

Angalia hawa wadada walivyoumbuliwa, Huyu kasuku jeuri kweli
Kasuku alisimama mlango wa kuingia supermarket wakapita wanawake watatu akasema nyeupe, nyekundu, kijani. Wale wanawake wakatatizika baada ya mda wakajua ni chupi walizovaa. Wakasema basi kesho tubadilisheni. Siku ya pili wakapita tena kasuku akasema nyeusi, manjano, zambarau.

MAMBO KUMI YA KUFURAHISHA NA HUWEZI KUYAFANYA
1. Huwezi kuosha Macho kwa Sabuni;2. Huwezi kuhesabu Nywele zako; 3. Huwezi kupumua kwa Pua na huku umetoa Ulimi;4. Unajaribu kufanya namba 36. Umeona inawezekana, sanasana unakuwa Kama Jibwa;7. Unatabasamu kwa kuwa umejiona Mjinga!8. Umeruka namba 5;9. Unahakikisha Kama kweli 5 haipo.10. Unacheka kwa kuwa nimekubamba! Read and Write Comments

Duh! Angalia alichokula huyu mwizi! Wizi mwingine bwana!
Baada ya mwizi kuvunja mlango huko Tarime, akaingia kwenye stoo akaona vinyama kwenye bakuli vikiwa vimekauka. Akaonja 1 akaona kitamu na kina chumvi! Akavila vyote. Alipomaliza akaangalia juu ya mlango akaona pameandikwa; “chumba cha UKEKETAJI WANAWAKE”. Unafikiri atakuwa amekula nini? Read and Write Comments

Soma hii, Nani haelewi kati ya hawa?
Dogo: Bro naomba nitumie hela.
Bro: Tumia tu mpaka uchoke.
Dogo: Hujanielewa,nitumie hela.

Hakuna mtu mwenye mbio duniani kama huyu
HAKUNA MTU MWENYE MBIO, KAMA MSICHANA ALIYEPAKA MAKE UP ALAFU MVUA INYESHE….. 😂😂 Read and Write Comments

Huyu jamaa ni shida, Chezea wimbo wa Taifa!
Mke mmoja alimpa mme wake redio aende nayo chooni ili asiboreke kwa vile huwa anakaa muda mrefu. Basi alvyotoka akamuuliza,”ehe mme wangu ulienjoy?” Mme,”ah wajinga hawa! Wameniwekea wimbo wa taifa,nimejisaidia huku nimesimama Read and Write Comments

Kuwa na Binti aliyeacha shule
Kuwa na binti aliyeacha shule ni BALAA. Anaweza kukuacha kwa staili ileile alotumia kuacha SHULE 😅😅😅😅😅 Read and Write Comments

Cheka kidogo na wewe hapa
*Kama mtaani kwenu mambo yamekuwa tait , usikimbilie mtaani kwetu kwani huku yamekuwa dera kabisa*😂😂😂😂😂 Jana nilipeleka viatu kwa fundi sasa hivi nimekutana nae amevivaa namuuliza ananiambia eti ni ROAD TEST” 😂😂😁 Read and Write Comments

Angalia haya mazungumzo ya msichana na mvulana, mapenzi ya ajabu haya
Demu: Hny mambo jamani!
Man: Safi nipe habari wangu wa moyo
Demu:Wafanya kazi gani vile wangu?
Man: Ni fundi wa kufunga ATM
Demu: Wow dont tel me i love you myn mwa mwa mwaaaaah

Mapenzi Stress tupu
Stress Tupu Unapokea Sms kwa mpenzi wako anakuambia “Kuanzia Leo Mimi Na wewe Basi! ????” Unashtuka ??…. Una muuliza kulikoni? ???? Anakujibu: “Sorry Sio Sms yako?” Hapo Ndo utajua Kwanini Hakuna Mmasai Albino?????? Read and Write Comments

Dongo kwako kama una degree moja Halafu unachagua kazi
Mtu una degree 1 unachagua kazi! Wakati thermometer ina degree 100, inafanya kazi kwenye kwapa. 😃😄😆😆😆 Ni Utani tuuuuu! Read and Write Comments
Recent Comments