
Ujumbe mzuri kwa mpenzi wako kumuonyesha upendo
yapitayo mdomoni yametokea moyoni ,uyaonayo hadharaninimeagizwa na manani yakuridhishayo nafsini ni utamu wayakini. Read and Write Comments

Ujumbe mzuri wa usiku mwema kwa umpendaye
Raha ya ndege kichaka si tunduni asilani,
Raha ya Ndege ujumbe nakupa mpelekee
mwandani iwapo hukumkuta msubiri mlangoni,
Usije ukaondoka hakuchinji asilani,
Mwambie namkumbuka hatoki mwangu moyoni.
ucku mwema

Meseji nzuri ya kumwambia mpenzi wako aache umpende kwa kuwa ni mzuri kwele kweli
Utamu wako ni zaidi ya asali, ni wa asili usiohitajikuongezewa ladha ya sukari, nitaumiss endapokama ukiwa mbali “NIACHE NIKUPENDE SWEET” Read and Write Comments

Ujumbe wa salamu kwa mpenzi kumjulia hali
Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu, kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi?

SMS ya kuahidi kumpenda mpenzi wako milele
Niliumbwa kwa ajili yako, mbele yako nitakushika mkono, nikuonyesha sayari yangu, pendo langu

Meseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa hutampenda mwingine zaidi yake
Si vibaya mimi kukusifia kwani wewe ni wangu, nivingiumejaaliwa, vinavyouvutia moyo wangu, amahakika uzuri wako umedhibiti matamanio yangu “SINTOMPENDAMWINGINE ZAIDI YAKO” Read and Write Comments

Meseji ya namna nzuri ya kumwambia mpenzi wako kuwa unampenda
Neno Nakupenda Hutamkwa Kwa Lugha Legeeevu YenyeKuambatana Na Hisia Nzito Zilizofikicha MioyoniMwetu,hutamkwa Kwa Kauli Bashasha,nakshi Na Hofu NdaniYake.raha Yake Umpate Anayekujali Kama Mi NinavyokujaliNakupenda Mpz Read and Write Comments

Meseji ya kumtumia mpenzi wako anapoonyesha kukupenda
Nakupenda kwa kuwa umegundua thamani ya penzi langunakuahidi utafaidi utamu wa mapenzi yangu Read and Write Comments

SMS ya kutuma kwa mpenzi wako asubuhi
Ewe mwanga angaza mboni ya penzi letu. Ndilo sababu ya nguvu yangu. Tangulia pembeni mwa macho yake. Asubuhi hii hadi usiku ujao

SMS ya kumshawishi mtu kuwa una upendo wa dhati
moyo upendao kwa dhati.haujalish ni kababu au chapat.n wng wa upendo wenye tarakimu kama somo la hisabati.kumpata akupandae kwa dhati pia hyo n bahati.nimfikiriaye kwa sasa nahc anaupendo wa dhati.Nitashukuru anikaribishe naye nimuonyeshe upendo wa dhat.Huu ni ukaribisho wa penzi la dhati.wenye wing wa furaha na Lenye pendo la kitanashati. Read and Write Comments
Recent Comments