Updated at: 2024-05-25 18:12:12 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Baba mmoja Juzi alimpaka Sumu Mke wake kwenye Matiti akiwa amelala ili Mtoto akinyonya afe kwani alihisi sio wa kwake, akaondoka kwenda kazini aliporudi akakuta house boy amekufa, usiniulize alikufaje. Mie mambo ya umbea sipendi niliondoka zangu mapemaaa!!😅😅😅😅
Updated at: 2024-05-25 17:05:40 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Kuna mtu kanikeraet nmemkubalia urafiki Leo tuFacebook anataka kujua kabila langu Bac akajifanya mjanjaa etakaniuliza mbu kwenu mnawaitaje Mimi nkamjibu hatuwaiti wanakujagawenyewe 😂😂😂😂😂😂😂 Si kwamba cjamuelewa ila sipendagi Ujinga Mimi
Hii ndio ndoto ya harusi ya kila msichana anayotamani
GIRL: Baby, hebu niambie harusi yetu itakuwaje?
BOY: Yaani hii haijawahi kushuhudiwa, ngoja nikupe kionjo kidogo tu
GIRL: Enhee…
BOY: Kwanza siku ya kupeleka mahari nitaswaga zizi zima la ng'ombe napeleka kwa babu yako
GIRL: Ooh baby u care..
Updated at: 2024-05-25 18:05:44 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
GIRL: Baby, hebu niambie harusi yetu itakuwaje?
BOY: Yaani hii haijawahi kushuhudiwa, ngoja nikupe kionjo kidogo tu
GIRL: Enhee…
BOY: Kwanza siku ya kupeleka mahari nitaswaga zizi zima la ng'ombe napeleka kwa babu yako
GIRL: Ooh baby u care..
BOY: Siyo hivyo tu, baba yako ntamnunulia Range Rover Sport na mama mkwe ntampa Range Rover Evoque
GIRL: Baby u are awesome…
BOY: Halagu mdogo wako wa kiume ntampa Prado Tx, na hapo nimesukutua tu mdomo sijaanza kula….
GIRL: Enhee…na sisi??
BOY: Sisi tutachukua mtaa mzima Oysterbay, kila wiki tutaishi nyumba tofauti
Halafu siku ya harusi yetu tutakodi zile meli zinabeba makontena ndiyo iwe ukumbi wetu, itatupeleka hadi Maldives
GIRL: Baby I love you
BOY: Tukitoka hapo tunaenda honeymoon Bahamas….halafu tunaenda Taiwan shopping ya fenicha, kisha Japan shopping ua electronics, halafu tunaenda Dubai nikununulie vito vya thamani
GIRL: Ooh my sweetheart…halafu tukitoka huko??
BOY: Tukitoka huko nachukua ndoo ya maji nakumwagia uzinduke usingizini na ndoto yako imeishia hapo
Updated at: 2024-05-25 17:49:47 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Babu: Mjukuu wangu ngoja nikusimulie hadithi ya mimi babu yako kwenye vita ya kagera Mjukuu: Niambie babu Babu: Kwenye vita ya kagera tulienda sehemu tukakamatwa wote askari na maadui wakatuambia chagueni kuuliwa au kubakwa. Mjukuu: Sasa babu wewe ulichagua nn? Babu: Niliuliwa!!!
Kweli tamaa ni mbaya, mke wa mtu kaponzwa na tamaa, ndio basi tena
Jamaa kaenda kwa mke wa rafiki yake:
JAMAA: Shem nakupenda!
MKE: Hebu toka hapa! Je rafiki
yako akijua? tena koma!
JAMAA: Ntakupa milioni 1!
MKE: Basi njoo kesho mchana
mume wangu akiwa kazini!
Updated at: 2023-04-29 22:53:16 (2 years ago by Melkisedeck Leon Shine)
Jamaa kaenda kwa mke wa rafiki yake: JAMAA: Shem nakupenda! MKE: Hebu toka hapa! Je rafiki yako akijua? tena koma! JAMAA: Ntakupa milioni 1! MKE: Basi njoo kesho mchana mume wangu akiwa kazini!
Kesho yake Jamaa kaja na milioni 1 wakamalizana na mke wa rafki yake, jioni ilipofika Mume akarudi home na kumuuliza Mkewe, "Rafki yangu SAM kaleta hela yangu milioni 1?" MKE akajibu kwa unyonge, "Ndio!" MUME: Yes! Ndio maana nampenda SAM kanikopa asubuhi jioni karejesha!!!! Mke hoi……