Kwa nini uume unasimama mara nyingine wakati wa kuamka asubuhi?
Date: April 17, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Ni kweli kwamba mara nyingi hali hii huwatokea wavulana na wanaume. Ndani ya uume kuna mishipa mingi ya damu na kama damu nyingi i i ikienda sehemu hii i ii inasababisha uume kuwa mgumu na kusimama. Mtu anapolala huwa ametulia na hivyo damu inaweza kusukumwa kuelekea kwenye uume. Kwa hiyo, msukumo wa damu ndani ya uume ni sababu pekee ya uume kusimama. Pia kujaa kwa kibofu cha mkojo huweza kusababisha uume kusimama wakati wa kuamka usingizini asubuhi.
Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.
Related Posts
Habari rafiki yangu! Leo tuzungumzie suala muhimu sana ambalo linapaswa kujadiliwa katika uhusian...
Read More
Leo tutazungumzia kuhusu kwa nini watu wanapendelea kujaribu aina mbalimbali za ngono/kufanya map...
Read More
Siyo watu wote katika jamii wanawachukia au kuwatenga Albino.
Wazazi, ndugu zenu, rafiki zen...
Read More
Habari wapendwa wasomaji, leo tutaangazia swali muhimu sana ambalo wapenzi wengi hujiuliza. Je, k...
Read More
Je, ni sahihi kufanya ngono na mpenzi wangu wa mbali? Swali hili limekuwa likiwasumbua vijana wen...
Read More
Kwa vile Albino hana tofauti na watu wengine inopokuja
kwenye suala la idadi ya watoto wa ku...
Read More
Uaminifu ni tabia muhimu sana katika uhusiano wako na msichana. Kama unataka uhusiano wako ufanye...
Read More
Nifanyeje Kuzungumza na Mwenzi Wangu kuhusu Matumizi ya Vipira (IUD)?
Karibu sana! Leo tut...
Read More
Hakuna mwenye kosa, kwa sababu jinsia ya mtoto i inategemea na bahati na hamna uwezekano wa kupan...
Read More
- Je, ualbino unaambukiza? β¦β¦β¦.. Hapana
- Ualbino ni ugonjwa? β¦β¦β¦..HapanaRead More
Karibu kwenye makala hii kuhusu kwa nini watu wanapendelea njia za asili za kupanga uzazi. Kupang...
Read More
Jinsi ya Kuepuka Kupotoshwa kuhusu Ngono na Mitandao ya Kijamii π±ππ
Karibu vijana...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!