Sidebar with Floating Button
AckySHINE SMSπŸ’ŒπŸ’•
☰
AckyShine

Urithi wa mtu

Featured Image

Kila mtu ni mrithi wake yeye mwenyewe. Mafanikio yako ya baadae ni urithi wako ulioutengeneza hapo awali. Utajiri wako wa sasa unatokana na uliyoyawekeza miaka ya nyuma na utajiri wako ujao ni yale unayoyawekeza sasa.

AckySHINE Solutions

Comments

Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.

No comments yet. Be the first to share your thoughts!

Related Posts

Changamoto na ugumu

Changamoto na ugumu

Changamoto na ugumu wa jambo upo kwa wale wanaolifanya. Huwezi kukaa na kutazama jamb... Read More

Chema na kizuri

Chema na kizuri

Sio kila kizuri ni chema, lakini kila chema ni kizuri. Uzuri wa chema ni wema wake.Read More

Umakini

Umakini

UMAKINI ni siri kuu ambayo wenye akili wote, wasomi na wanasayansi wanaitegemea.

<... Read More
Matendo ya mtu

Matendo ya mtu

Matendo ya mtu ni tafsiri kuu ya mawazo yake.

... Read More
Mke Na Mme Kusaidiana

Mke Na Mme Kusaidiana

Inapendeza kweli mke na Mume kusaidiana. Kusaidiana ni Kushirikiana lakini kugawana m... Read More

Mwanzo mzuri wa kitu

Mwanzo mzuri wa kitu

Kitu chochote kinapofanywa vizuri mwanzoni ni sawa na kimefanywa nusu tayari.

Read More
Uzuri na ubora

Uzuri na ubora

Uzuri wa kitu huvutia MACHO lakini ubora wa kitu huuteka MOYO daima. Uzuri haudumu.Read More

Hakuna uwezo Bila fursa

Hakuna uwezo Bila fursa

Hakuna uwezo bila fursa. Huwezi kusema unauwezo wa kitu kama hauna fursa ya kukifanya... Read More

Amini unashinda

Amini unashinda

Amini kuwa unashinda na wewe utashinda. Hata vita wanashinda wale wanaoamini katika u... Read More

Biashara ya maisha

Biashara ya maisha

Biashara ya maisha ni kusonga mbele tuu. Maisha hayarudi nyuma wala hayafai kurudisha nyuma. Mais... Read More

Nguvu ya kuwa makini

Nguvu ya kuwa makini

Uwezo wa kuwa makini katika jambo bila kuyumbishwa na kitu chochote ni ishara kuu ya ... Read More

Maendeleo kwa mfano wa Kobe

Maendeleo kwa mfano wa Kobe

Huwezi kupata maendeleo kwa kusitasita na kuogopaogopa. Hata kobe anayesonga mbele ni... Read More