Sidebar with Floating Button
AckySHINE SMS๐Ÿ’Œ๐Ÿ’•
โ˜ฐ
AckyShine

Kali za leo: Misemo ya kuchekesha na kuvunja mbavu

Featured Image

1. Ati wee ni m-black mpaka ukiingia kwa dinga(gari), dirisha zinakuwa tinted!

2. Kwenu kuchafu mpaka mende zinatema mate.

3. Vile wewe mfupi, ukipiga picha ya passport inatokea full.

4. Ati(house) yenu ina gate lakini hakuna fence.

5. Baba alienda ku buy ngombe akaona ikikojoa akasema sitaki hiyo imetoboka.

6.Wee mblack mpaka ukikutana na mzungu afternoon anakusalimia: Good evening.

7. Mko wengi kwa house mpaka kuna rush hours na kukinyesha kunakuwa na jam.

8. Paka yenu noma mpaka ikishika panya inaomba chumvi, fork na pilipili.

9. We ni mrefu mpaka ukikunywa maziwa inafika kwa tumbo ikiwa mgando.

10.Wewe ni mweusi ukikanyanga makaa unawacha footprint nyeusi.

11. Kwenyu mkikunywa maji mnaitisha toothpick

12. We ni mbishi hadi ulikataa kuzaliwa uchi

13. Kwenu kuna insecurity ikifika usiku hadi geti mnaingiza ndani

14. Kwenu ni wengi sana hadi mmeweka round about ndani.

15. Wewe ni mlafi hadi maji uliyochemshia mayai unayafanya supu.

16. We ni mjinga sana hadi blood test ulifeli.

17. Una chogo refu hadi ukigeuka haraka unaweza kuliona.

18. Una kichwa kikubwa hadi ukiingia kwenye daladala konda anakwambia "abiria usiingie na mizigo, tunaweka juu kwenye carrier

AckySHINE Solutions

Comments

Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.

No comments yet. Be the first to share your thoughts!

Related Posts

Duh. mjamzito ana kazi

Duh. mjamzito ana kazi

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ukimuona mjamzito katema mate ujue mtoto kajamba

... Read More
Cheki hiki kibabu kulivyowaacha watu hoi wakati mchungaji anafungisha ndoa

Cheki hiki kibabu kulivyowaacha watu hoi wakati mchungaji anafungisha ndoa

Mchungaji Kauliza:ย Yeyote mwenye pingamizi la haki kwa ndoa hii asimame na aje... Read More

Misemo 10 bora ya kuchekesha itakayokuacha mdomo wazi

Misemo 10 bora ya kuchekesha itakayokuacha mdomo wazi

1. Mwanaume hata awe bahili vipi, hawezi kumpa mwanamke mimba nusu.

Read More
Hakuna siku mbaya maishani kama hii

Hakuna siku mbaya maishani kama hii

Hakuna siku mbaya maishan kuona mtu uliyesoma naye darasa moja, anakupita na private car,, afu w... Read More

Mpenzi Akikuita Mamito, Mjibu Hivi

```html

Responding to Pet Names: A Guide to Healthy Relationships

Navigating the landsc... Read More

Sifa 10 za mwanaume ambaye kila binti anayetaka aolewe angependa aolewe naye!!

Sifa 10 za mwanaume ambaye kila binti anayetaka aolewe angependa aolewe naye!!

1. Awe na pesa nyingi

2.Siyo lazima awe mzuri wa sura

3. Ajenge ukweni

4.Awe mp... Read More

Upendo wa kweli ni nini?

Upendo wa kweli ni nini?

*Upendo wa kweli ni nini?*
*๐Ÿ‘‰Upendo wa kweli ni pale mwanaume anapomfumania mwanamke wake... Read More

Hii ndiyo bongo sasa!!

Hii ndiyo bongo sasa!!

Hii ndio Bongo

Ilikuwa Ijumaa mida ya saa 10 jioni, mzee mmoja aliingia na kibinti kizuri k... Read More

Dogo alivyomchomea dada wa kazi kwa mama yake kuhusu baba

Dogo alivyomchomea dada wa kazi kwa mama yake kuhusu baba

Dogo: mama hivi malaika si wanapaa? Mama: ndiyo wanapaa, kwanini umeniuliza hivyo? Dogo: nimesikia b... Read More
Jamaa anayependa kuwafanyia watu uhuni leo kapatikana na huyu mdada

Jamaa anayependa kuwafanyia watu uhuni leo kapatikana na huyu mdada

Mdada alienda super-market kununua
kuku, bahati mbaya kwenye frij
kulikuwa na kuku mmoj... Read More

Kwa hiki kilichonikuta sitadanganya tena kuanzia leo

Kwa hiki kilichonikuta sitadanganya tena kuanzia leo

Juzi nikitoka church nilipanda kihiace na kulikuwa na mrembo mkali hujawahi kuona,kila kijana ali... Read More

Jinsi Mapenzi yanavyoweza kukupa stress

Jinsi Mapenzi yanavyoweza kukupa stress

Mapenzi ni balaa

Mapenzi ujue yanawez kukupa stress adi mama ako akikuuliz what's wrong๐Ÿค”... Read More