Nilichokifanya jana baada ya kushuka kwenye basi Ubungo
Updated at: 2024-05-25 17:02:05 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Jana nateremka kwenye BASI UBUNGO nataka nichukue TEKSI hadi KIMARA naambiwa sh.15,000/=. Wakati niponatafakari hiyo bei, nikasikia "Moro, Moro,Morogoro sh.6,000/="
Nikaamua nipande niende zangu MOROGORO. Kwenda na kurudi sh.12,000/=. Wakati wa kurudi nikamwmbia KONDA aniteremshe KIMARA.
Mume mgonjwa kazua mpya baada ya kuruhusiwa kwenda nyumbani kutoka hospitali alipokuwa kalazwa
John aliruhusiwa kwenda nyumbani kutoka hospital ya
Vichaa, akapakiwa ktk ambulance hadi karibu na
nyumbani kwake, akaulizwa kwako unapakumbuka?
Updated at: 2024-05-25 18:05:50 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
John aliruhusiwa kwenda nyumbani kutoka hospital ya
Vichaa, akapakiwa ktk ambulance hadi karibu na
nyumbani kwake, akaulizwa kwako unapakumbuka?
akajibu ndio nyumba yangu ilee, mara wakatoka
watoto wawili wamevaa uniform akasema watoto
wangu walee wanakwenda shule..
Akatoka mwanamke akasema na mke wangu yulee,
Ghafla akatoka mwanaume john akasema mimi
yuleeeeeeeeβ¦. naenda kazini!! JE, NI KWELI
AMEPONA??
Updated at: 2024-05-25 17:04:12 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
πΒ Jamaa kamuaga mkewe anaenda semina Songea kwa wiki nzima kumbe kahamia kwa demu nyumba ya pili toka kwake. Siku ya 1 kalala asubuhi alipoamka kachungulia kwake kukoje,
Si kamuona jamaa yuko nje ya nyumba yake kavaa taulo lake anapiga mswaki. Akapiga kelele, 'We nani?', Jamaa akajibu, 'Mshikaji mambo ya mjini, mume wa huyu demu kasafiri kaenda Songea mi ndo najivinjari hapa'. Mume kajibu kwa uchungu, Shenzi mkubwa, ngoja nirudi toka Songea nakuua.πππππππππππ
Updated at: 2024-05-25 17:05:40 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Kuna mtu kanikeraΒ et nmemkubalia urafiki Leo tuΒ Facebook anataka kujua kabila langu Bac akajifanya mjanjaa etΒ akaniuliza mbu kwenu mnawaitaje Mimi nkamjibu hatuwaiti wanakujagaΒ wenyewe πππππππ Si kwamba cjamuelewa ila sipendagi Ujinga Mimi