Updated at: 2024-05-25 17:13:37 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mama alichukuwa simu akampa mwanawe. Mama..Mpigie babako mwambie chakula tayari. (Mtoto akachukuwa na kupiga) Mtoto…Mama simu ya baba imepokelewa na mwanamke. (Mama kwa hasira) Akirud atanitambua leo. (Baada ya muda kidogo baba akarud,kufika mlangon tu kapokewa na sufuria ya kichwa. Hajakaa vzur mwiko wa pua) Mama..Mwanangu ulipopiga simu ya babako mwanamke wake alisemaje?? Mtoto..Alisema mteja unaempigia hapatikan kwa sasa…..
Updated at: 2024-05-25 17:17:44 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Jamaa alikuwa kwenye daladala pembeni kuna dada mrembo kakaa. Kamlia timing kwa muda kisha halafu akamuuliza "Samahani dada unaitwa Google?". Dada: "hapana, kwanini umedhani naitwa hivyo?". Jamaa: "Una kila kitu nnachokitafuta "😅😃😃😃😃😃😃😃😃😃
Updated at: 2024-05-25 17:48:24 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
MDADA: Baby nikwambie kitu MKAKA: Yeah Baby Uko huru nambie MDADA: nilikua naomba hela baby☺ MKAKA: WW nae kwa kupenda hela jana tu nmekupa hela Leo unaomba ya nn 😖 MDADA: hapana😌 Bby sio hivyo nlikua nataka nikashuhudie tetemeko la ardhi BUKOBA nasikia huko linaonekana vizur . 😂😂😂😂😂😂😂😂 Wanawake kumbukeni sio vizuri
Updated at: 2024-05-25 17:01:44 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mke: Unampango gani na pasaka hii mmewangu.. Mume: Nitafanya kama yesu.. Mke: Unamaanisha Nini?
Mume: Nitaondoka ijumaa na Kurudi j3.. Mke: Unanishangaza, kama utafanya hivi nami nitafanya kama Maria.. Mume: Unamaanisha Nini? Mke: Nitapata mimba bila ya kuingingiliwa na wewe mume wangu.. Mume: 😳😳😳
Alichokisema mtoto baada ya kusikia baba na mama wakiongea mambo yao usiku
MUME: Mke wangu naomba nikubusu
MKE: Sitaki
MUME: Ntakununulia pete ya gold
MKE: Staki
Updated at: 2024-05-25 18:04:32 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
MUME: Mke wangu naomba nikubusu
MKE: Sitaki
MUME: Ntakununulia pete ya gold
MKE: Staki
MUME: Ntakununulia gari
MKE: Sitaki….mtoto wao aliyekuwa kalala alisikia haya maneno ya mwisho
MTOTO: Baba basi nibusu mimi uninunulie baiskeli
BABA: Pumbafu lala huko mjinga mkubwa
Updated at: 2024-05-25 17:54:01 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Usije ukaenda kwa mganga, mwenzako yamenikuta, yani masharti niliyopewa, acha tu, yalikua hivi:-
1.Jasho la nyoka. 2.Manyoya ya mende. 3.Sisimizi Shoga. 4.Mbwa mjane. 5.Kuku aliye single. 6.Samaki mwenye miaka miwili bila kuoga 7.Mti wenye ujauzito. 8.Mbavu za Nzi. 9.Nywele za Kiroboto. 10.Mwanya wa Mbu. Duuh..!! mwanangu kwa hali hii mbona itakula kwako. Wengine wanasemaga IGA UFE! Rizik anagawa Mungu tu shetan simuelew!